Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?