Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

UKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.

UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .

HUYO MTOTO SIO WAKO

FALAAA WEWE
Vitoto vya siku hizi haviendi jando jamaa yangu ,ndiyo maana utakuta kila siku kupandisha vinyuzi vyenye majibu hata bila kuambiwa .

Fukuza haraka hako kadada katakumaliza pimbi wewe.
 
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi

Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.

Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.

Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?

Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.

Mwaminifu huyu?
Umepigwa na kitu kizito chenye nncha kali na mtoto sio wako nenda kapime DNA kama una ujasiri kama upo nyumba ya kupanga sepa ukaanze maisha kwingine upya
 
Nikiona mtu anahitaji simu ili ajue/agundue mpenzi wake amebadilika namuona kama hajapevuka.
Mi ni konda wa bajaj na nina siri nyingi za wake zenu na kama ningekuwa najua kuandika hapa nina uwakika kungechafuka .
Swala la kushika simu ya mwenza ni kama kumlinda kimtindo na sio swala la kupevuka na kama unaona hivyo sawa maana kwenye hizi bajaji tunabeba siri nyingi sana.
 
Wakati mwingine tunawachia bajaji iwe gesti na msela tunakaa pembeni wakimaliza wanatuita tunawarudisha kila mmoja kwake. Pesa mafuta pesa manukato pesa faraja pesa mmmwaaaa
 
UKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.

UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .

HUYO MTOTO SIO WAKO

FALAAA WEWE
Tena anasuguliwa haswaaaa
 
Kwa upande wangu mimi huwa nina ogopa sana simu ya mke wangu
Mara ya mwisho kushika simu yake na kukagua ni miaka 7 iliyo pita na leo tuna miaka 10 japo atujafunga ndoa ila tuna watt 2

Ushauri wa bure mpe muda na ww jipe muda wa kufanya utafiti lakin pia mtoto anavyozidi kukua kuna vitu tu utaviona ata km niwa kike kuna feature zako baadhi atakua nazo
 
Back
Top Bottom