Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Mi ni konda wa bajaj na nina siri nyingi za wake zenu na kama ningekuwa najua kuandika hapa nina uwakika kungechafuka .
Swala la kushika simu ya mwenza ni kama kumlinda kimtindo na sio swala la kupevuka na kama unaona hivyo sawa maana kwenye hizi bajaji tunabeba siri nyingi sana.
Sihitaji kukagua simu yake ndo nijue anacheat
 
ila inasadikia kibongo bongo hupewi majibu ya kweli hata kama mtoto si wako kwa hofu ya kutengeneza malezi duni kwa mtoto.
Kama waogopa kubambikiwa, agiza DNA kit toka US. Nafikiri itabidi uwe na US address unapo register hiyo kit online kwani huwa hawatoi huduma kwa baadhi ya nchi kutokana na masuala ya kusheria.
 
Kwa upande wangu mimi huwa nina ogopa sana simu ya mke wangu
Mara ya mwisho kushika simu yake na kukagua ni miaka 7 iliyo pita na leo tuna miaka 10 japo atujafunga ndoa ila tuna watt 2

Ushauri wa bure mpe muda na ww jipe muda wa kufanya utafiti lakin pia mtoto anavyozidi kukua kuna vitu tu utaviona ata km niwa kike kuna feature zako baadhi atakua nazo
Hakuna suala la kumpa muda kwani mtoto anapokua ana develop attachment kwa baba feki na itamuumiza sana siku ukimtenga kwa kuwa si mtoto wako. Heri ujue sasa hivi kuliko baadaye.

Hakuna anayeshika simu ya mwenza bila ya kuwa na sababu. Na kutokushika haifanyi kuwa anayetoka nje ndio hatoki. Sana sana umempa uhuru zaidi. Sawa na mbuni anayeficha kichwa wakati kiwiliwili chote kipo nje.
 
Kinyesi hakina miba ila ukiyakanyaga lazima utachechemea tu...teh🤣
 
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi

Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.

Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.

Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?

Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.

Mwaminifu huyu?
doh....achana na hiyo simu
wanawake hutongozwa sana na wazee wakufosi mtaani,insta,fb....siku hizi nasikia wazee wa kutongoza wapo hadi tiktok(mie situmii hii app) kwahyo achana na simu yake kabisa
 
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi

Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.

Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.

Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?

Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.

Mwaminifu huyu?
Huyo mtoto siyo wako, ndiyo maana anahofu cha kufanya ni kwenda kumpima vina saba ili uwe na amani.
 
Sasa mzee Marwa Ntagira, katoto sio lazima kafanane na wewe, ila kama una wasi wasi nenda mkapime vinasaba
 
  • Kicheko
Reactions: Cyb
Kama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
Aachane na simu yake vp wakati anataka kuujua ukweli binafsi huwezi kuniambia niachane na simu ya mke wangu hakuna Amani km unaugulia kimyakimya Amani ya kweli ni kujua changamoto zako na namna ya kukabiliana nazo ili uwe huru
 
Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi

Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.

Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.

Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?

Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.

Mwaminifu huyu?
Demu kashagegedwa huyo wee usijali mualike mwanaume mwenzio mpige thriiisamuuuu matata
 
Back
Top Bottom