Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

Bado mgeni wa jiji huyu jamaa, anafikiri kadi ndo guarantee ya yeye kua ndo baba mzazi OG, hawa viumbe wanaweza kaa hata na kadi 7 za mtoto kwa ajili ya kuchunia pesa..... Akae kwa kutulia kabisa dose iingie
Bado bado huyu kukua
 
Huyo mwanamke ana nguvu kuliko wewe, na inawezekana pia mtoto si wako.

Mwambie unataka utafute mke mwingine, kisha umsikilize
 
Sio kuhisi, ndio ukweli wenyewe, tafuta mpenzi wako, achana na mpenzi wa watu
 
Gharama za kupima DNA ni kubwa, ingekuwa ni kama kipimo cha maralia ndoa,na familia nyingi zisingekuwepo.
na pengine hata huyo mtoto si wako.
Anza kwa kupima group la damu, japo si njia sahihi sana ila inatoa mwangaza ukiona magroup ya damu hayasomeki achana naye, amani yako ni kitu cha muhimu sana
 
Mnaficha nini kwenye simu usichotaka mwenza wako ajue? Watu hubadilika au hubadilishwa na unatakiwa u make informed decision na sio kumsingizia mwenza wako.
Hakuna cha kuficha, mwanamke wangu akibadilika hata nisiposhika simu yake najua tu.
 
Back
Top Bottom