min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mda mwingine kumfuatilia mpenzi / mke / mume , ni kujilinda na magonjwa tu 🤔Wanaanza kutumia njugu pamoja 🤕
Mda mwingine kumfuatilia mpenzi / mke / mume , ni kujilinda na magonjwa tu 🤔Wanaanza kutumia njugu pamoja 🤕
Kaka pita hivi yaan kimbiaaaHajafanana kabisa. Mi mweupe mtoto mweusi. Sura na chochote hata mama yake hawafananu
Huu ushauri umeniliza sanaUKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.
UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .
HUYO MTOTO SIO WAKO
FALAAA WEWE
Kweli. Nalazimishaga furaha ila amani siionikwenye mapenz anayeumia sana ni yule mwaminifu,
300,000. Wewe, mama na mtoto@ 100,000Kupima DNA shngp mkuu 🤔
Chukua hatuaHajafanana kabisa. Mi mweupe mtoto mweusi. Sura na chochote hata mama yake hawafananu
Kila mtu ashike simu yakeMda mwingine kumfuatilia mpenzi / mke / mume , ni kujilinda na magonjwa tu 🤔
Anaweza pata lead ya viashiria vya yeye kuunasa na akaitumia akakwepaNi kweli.Akiishika simu yake hawezi ambukizwa UKIMWI.
ila inasadikia kibongo bongo hupewi majibu ya kweli hata kama mtoto si wako kwa hofu ya kutengeneza malezi duni kwa mtoto.300,000. Wewe, mama na mtoto@ 100,000
Kwahiyo nikitaka Mimi na mtoto tuu haiwezkn mkuu 🤔300,000. Wewe, mama na mtoto@ 100,000
Binadamu humuwezi akiamua kucheza na akili yako.Anaweza pata lead ya viashiria vya yeye kuunasa na akaitumia akakwepa
😄mapenzi nomaKila mtu ashike simu yake
Ona sasa mleta mada anavyo-suffer
SureBinadamu humuwezi akiamua kucheza na akili yako.
NB:Hajakatazwa kumfuatilia ila iwe kwa akili nyingi.
pole sanaa, kanuni ni 1 tu, chagua anayekupenda sio unayempenda.Kweli. Nalazimishaga furaha ila amani siioni
Haiwezekani labda ufanyiwe connection na mtu.Kwahiyo nikitaka Mimi na mtoto tuu haiwezkn mkuu 🤔