Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
Akija ambukizwa ukimwi je?Kama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
Kupima DNA shngp mkuu 🤔Tafuta hela kampime mtoto DNA
Sijajua ngoja wataalam wajeKupima DNA shngp mkuu 🤔
UKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi
Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri.
Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa amebadili pasiwed na hataki hata niisogelee. Hata nikiisogelea huwa haruhusu niitumie bila yeye kuangalia ninachofanya.
Mtoto hajafanana na mimi, hiyo siyo shida kwa sababu ni wa kike. Kwa mazingira haya ya usiri alouanza niwe na amani tuu? Au aliruka nje kuleta huyo mtoto so anaficha kona zake?
Japo mtoto amesajiliwa jina langu la ubini kabisa la kikurya ila nina mashaka hasa kwa hii tabia mpya.
Mwaminifu huyu?
Wachepukaji sugu, hii ndio mbinu yenu mnayotumia kuhalalisha Uchepukaji.Kama unataka amani na mpenzi wako achana na simu yake...
Sahihi kabisaa !..Kadi sio ishu. Mtoto anaweza akawa na kadi hata 3 zenye majina tofauti na akwa anaenda clinic tofauti
Wanaanza kutumia njugu pamoja 🤕Akija ambukizwa ukimwi je?
Kupima DNA shngp mkuu
AiseehUKIONA MWANAMKE ANA USIRI MKUBWA NA SIMU YAKE, LICHA YA UKWELI KWAMBA UNAISHI NAYE AMA KWA KUMUOA, AU NJOO TUISHI.
UJUE ANA ANATOMBWAA NJE , ANALIWA, ANAPIGWA MASHINE, ANAPELEKEWA MOTOO .
HUYO MTOTO SIO WAKO
FALAAA WEWE
Aysee mimi nakagua kila kona tena naenda hadi google kucheki history kama huwa anaangalia warumi 🤣Akija ambukizwa ukimwi je?
Upo sawaWanaanza kutumia njugu pamoja 🤕
KachapiwaMtoto hajafanana na wewe ndio, je ndugu zako yaani dada zako kama wapo, mama yako au mashangazi hakuna aliyechukua kidogo
Hajafanana kabisa. Mi mweupe mtoto mweusi. Sura na chochote hata mama yake hawafananuMtoto hajafanana na wewe ndio, je ndugu zako yaani dada zako kama wapo, mama yako au mashangazi hakuna aliyechukua kidogo
Ni kweli.Akiishika simu yake hawezi ambukizwa UKIMWI.Akija ambukizwa ukimwi je?