EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
hii kauli yake ilikua tata mno, subiri ngwengwe imuoneshe
Siku hizi umetoa taa ya kuvukia barabara.Kaisha sana
Ngwengwe tena???hii kauli yake ilikua tata mno, subiri ngwengwe imuoneshe
Kwani muujiza ni kitu gani mkuu. Basi Biblia yote ni kitabu cha porojo na Mungu hayupo. Biblia ndio imesena kama unaumwa uombewe na utapona. Ila hawajasema uende kwa nabii uchwara kama hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uvivu dogo sim yako haina google...?Tupieni na picha zake za achieve!
Nyoka wa Musa na Nyoka wa Farao wanafanana sana!
Usipokuwa makini utamkashifu Michael Jackson kwa kusikilizishwa nyimbo za chibu!!
Huyu si ndiyo alisema Magu kachaguliwa na mungu😂😂😂
[/QUOTna magu alimtembelea church kwake
Namkumbuka mkewe alikuwa dada mmoja anatangaza vipindi vya kwaya pale TBC ila nasikia alimtelekezaPesa ya ujanja janja ina mawili itakutoka kijanja au itakuumbuua kijanja...
Pombe mingi afu kwani ana mke vile??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kweli kabisa sina haja ya kudanganya .
Unachokitaka ni kupewa story za vijiwe vya kahawa. Endelee kudodosa dodosa ili udanganywe vizuriMkuu Mshana Mfano Wa Hayo Matendo Ni Kama? Tunahitaji Sana Maoni Yako Ili Tujue Tunasimamia Upande Upi Mkuu