Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Mmmm kazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha japo haikustahili.
Usicheke mkuu
Kwa mika yangu 5 ya jf nawajua hawa wenzangu.
Huwa ni jack of all trades and master of all.
Humu wanajua ugonjwa wa kila mtu, mwanasiasa, msanii, nabii, mchungaji, na kila aina.
Ni wewe tu kuanzisha thread majibu utapata kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu jukwaani kuanguka kwa afya ya mtu huwa ni furaha kuu kwa watu.
Binadamu wazuri kuongea nao usoni moyoni wanakuzodoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo si yakuchonga sana siunaona mpaka leo 14yrs yupo wewe ukisaidiwa una acha Mungu mwenyewe atavuna mbegu na magugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko bize kumjadili binaadam mwenzako, kwani we mzima 100β„…?
Hata wagonjwa tuna haki ya kuzitumia akili zetu vile tunapenda!!
Hata mkiazimia kutoshirikiana nasi potelea mbali!!!!
 
Ebu ngoja kwanza zilikuwa ni soda au bia?...maana soda hazileweshi[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…