hata 'bulldozer' nasikia naye anao huu mtindoMi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupanda nayo altareni ila inasemekana akiwa pale tayari anakuwa ameshautwika
Ujinga mzigoHahaha .. kanisa no moja tu katoliki takatifu na la mitume..
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Loh..Sio kupanda nayo altareni ila inasemekana akiwa pale tayari anakuwa ameshautwika
Anafuta jasho tu
hata 'bulldozer' nasikia naye anao huu mtindo
hakika!
Yeah kule kunona nona kunaishaKwamba ukizeeka unakonda
Yeah uzee unamaliza muscles ila sio that rapid! Its either ana overdrinking issue ama ana kisukari!Yeah kule kunona nona kunaisha
Kumbe mnapenda walionona [emoji848]Hii pete akitoa tu, hata hizo nywele zitazidi kunyonyoka
Walonona ndio mnawapenda eeh[emoji848]Yeah kule kunona nona kunaisha
Shida siyo walionona. Huyu walakin imeanza tangu mwaka jana mwez wa 8. Mahubr yake ukichek, kuna namna fln hiv anazungumza kama vile ni wosia anaacha, saiv ndy kama hivyo unaona kapukuchuka
HahahahahMi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo profile picha ni ya mwake. Labda kama ulikuwa unataka kumuuliza ni yeye mwenyewe kwenye hiyo picha[emoji1] [emoji1] [emoji1]