Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
hata 'bulldozer' nasikia naye anao huu mtindoMi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.
Sent using Jamii Forums mobile app