Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Mwili wa huyu mchungaji unazidi kudhoofika sijui anaumwa nini.
Tumuombee huyu Mtumishi
IMG-20190401-WA0060.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huyu mzee amenipa maswali mengi bila majibu.
Hizo Pete ni za nini?
Kwanini miaka ile nliwahi kwenda kanisani kwake wahudumu wako standby wakimfosi kila alieacha macho wazi afumbe wakati wa kuabudu na ndo mda huo huo huyu mzee anaingilia kule mbele ya madhabahu. shida nini?na nliwahi ona wengine wanalalamikia hili.
Pili alikua ana kitaulo maalum pale kwenye altar mpaka maneno ya waumini yakazidi akaanza kujitetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
pete ina uhusiano gani hapo? madini yetu tuwaachie nani wayavae? ukiangalia vizuri hiyo ni dhahabu na tanzanite mali ya tz. ubaya uko wapi? tuyavae tu ni mungu ametupa.
 
mwiba si unajua unasumbua kidogo lakini unaendrlea na mambo yako kama kawaida. Hiyo lugha nimemsikia yeye mwenyewe kwenye luninga akim nukuu Mt. Paulo. Na siku hiyo mahubiri yake yalikuwa kama mtu anaetoa maneno ya kwaheri. Kulikuwa hakuna kupiga piga makofi na kushangilia ila niliona watu wanapita mbele na kumpa hela mkononi .

Mwiba kivipi??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani muujiza ni kitu gani mkuu. Basi Biblia yote ni kitabu cha porojo na Mungu hayupo. Biblia ndio imesena kama unaumwa uombewe na utapona. Ila hawajasema uende kwa nabii uchwara kama hawa.
Hakuna binadamu anayeweza kutenda miujizi mkuu hata huko kanisani kwako hao wachungaji wasikuongopee kuwa wanao huo uwezo.....zile mbwembwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawatambua kwa matendo yao... Kuna vitu vingine ni vya kificho mno ndio huwatambulisha uhalisia wao

Jr[emoji769]
Mkuu Mshana Mfano Wa Hayo Matendo Ni Kama? Tunahitaji Sana Maoni Yako Ili Tujue Tunasimamia Upande Upi Mkuu
 
mwiba si unajua unasumbua kidogo lakini unaendrlea na mambo yako kama kawaida. Hiyo lugha nimemsikia yeye mwenyewe kwenye luninga akim nukuu Mt. Paulo. Na siku hiyo mahubiri yake yalikuwa kama mtu anaetoa maneno ya kwaheri. Kulikuwa hakuna kupiga piga makofi na kushangilia ila niliona watu wanapita mbele na kumpa hela mkononi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa maneno yenye unga unga wa wosia yalianza Agust mwaka jana
 
Back
Top Bottom