Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Usitumie nguvu kujiaminisha kuwa upo sahihi,
Wewe si kipimo cha ukweli kiasi kuwa ukikataa jambo inakuwa sahihi,
Jipe muda wa kuuliza na kujifunza,
Lkn km umeamua kukataa sababu tu akili yako imegota basi sawa,
Kanisa ni nini,
Biblia takatifu,
Mahali hapa patakatifu,
Hekalu takatifu
Nk nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala hata siwezi tumia nguvu katika kuelezea ama kuelewa upuuzi. Hebu jibu maana ya kanisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom