witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mtoto ana matatizo gani?Skandali nyingine mbaya niliyoipata toka kwa shemeji yenu ni kwamba huyu mtumishi alikuwa na appointment na dada mmoja mzuri na hela zake na pia ana usafiri. Baada ya soda mbili 3 yule dada hakujua kilichoendelea, ila alipozinduka alikuta yuko chumbani na sehemu nyeti zimechafuka sana na mtumishi hayupo kesha ondoka. Wamekataa kunitajia jina ka huyo dada nimfahamu huenda ni mtu wa karibu.
Kinachonishangaza mimi pamoja na kuona ile clip aliyolewa akitukanana na jirani yake ni kwamba jamaa yangu tumeoa sehemu moja alisota miaka kibao hapati mtoto, wakaenda kwa huyu mtumishi wakapata mtoto ila ana matatizo. Haya mambo yanishangaza sana. Sijui wana mbinu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app