Namibia kuna wazungu wengi wanafuga kisasa sana ngombe wa nyama kwa kiwango cha kimataifaBahati ya mwenzako....???malizia mkuu.
Waafrica ndio maana hatuendelei kila kitu siasa ndeeeeeefu. Sasa hapo vyuo vinaingiaje Sasa.Katika kupanga mipango ya kilimo kwanza ni muhimu kuwahusisha wahadhiri wa vyuo vya kilimo. Waweze kuandaa course ndefu na fupi zitakazo wanufaisha raia katika uwekezeji wa kilimo na ufugaji.
Kutafuta masoko ya bidhaa, soko la ndani peke yake ni kubwa kama kuna usafiri wa kueleweka. Watu wa Bukoba na Kigoma wanaweza kupata samaki barafu kutoka Tanga na nyanya kutoka Lushoto.
Katika kupanga mipango ya kilimo kwanza ni muhimu kuwahusisha wahadhiri wa vyuo vya kilimo. Waweze kuandaa course ndefu na fupi zitakazo wanufaisha raia katika uwekezeji wa kilimo na ufugaji.
Kutafuta masoko ya bidhaa, soko la ndani peke yake ni kubwa kama kuna usafiri wa kueleweka. Watu wa Bukoba na Kigoma wanaweza kupata samaki barafu kutoka Tanga na nyanya kutoka Lushoto.
Bila elimu tutaishia kuzalisha mazao hafifu kwa nguvu kubwa. Hivi unafahamu kuwa elimu ni biashara? Course za miezi mitatu kwa vijana kufifunza ukulima bora wa korosho kwa mfano utasaidia vijana na pia uchumi.Waafrica ndio maana hatuendelei kila kitu siasa ndeeeeeefu. Sasa hapo vyuo vinaingiaje Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu ni hatari sana mpaka kuwe na chain ya benefit kwaoWakulima hao, ni waleee .... mabeberu wa enzi zile. Settlers. Jiulize vibarua wao ni kina nani. Matter of fact ile nchi ukiingia humu ni kama "ujerumani flani". Dont compare na Bongo.
iwawezeshe kufuga ngombe au? kwani masai ngombe wake anaofuga kawezeshwa na serikaki? Asas anayeuza maziiwa ya ngombe hadi nje ya nchi kawezeshwa na serikali?Bwashee unailamu sana sekta binafsi, serikali imefanya nini kuwawezesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamekuwa wanauza korosho nje miaka na miaka kwa elimu ya kitaa tu, Nyie na elimu zenu za PDF mmekuja maliza na kuharibu sokoBila elimu tutaishia kuzalisha mazao hafifu kwa nguvu kubwa. Hivi unafahamu kuwa elimu ni biashara? Course za miezi mitatu kwa vijana kufifunza ukulima bora wa korosho kwa mfano utasaidia vijana na pia uchumi.