Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna chuo kikuu cha kilimo na vyuo kibao vya mifugo vinatoa wataalamu wabobezi wa kilimo na mifugo ila wakimaliza kusoma hawalimi wala kufuga wanazurura mijini wakiwa wamelamba suti wakitembea kifua mbele huku wakiwa wamebeba mabegi yenye laptop migongoni zenye takwimu za kilimo na mifugo wasiyofuga wala kulima
[/QUO
Vyuo vya kilimo ni wastage of space ,havijabadili maisha ya Watanzania
Tatizo letu in elimu , mfugaji wa ngombe siku zote anazungumzia kulisha ngombe majani, tu. wenzetu walioendelea ni majani na nafaka kwa pamoja Je tuna wafugaji wanaohifadhi majani kwa ajili ya kiangazi? ,Jibu hakunaNgombe zetu nyingi tatizo ni magonjwa na malishoo yao kwa ngombe syo mazuri!
Natamani ingerudi Enzi za tanganyika packers wale walikuwa wazungu na walikuwa wanasafirisha nyama nje.... Sema tulipowapora tuendeshe sisi Ahh tukauaaaaa.
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app