Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Tunatengeneza vyote hivyo plus yoghurt na mtindi na tunafanya packaging nzuri sana, consumer behaviour ya wabongo ndio janga..Soko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tunatengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.
Hizo milk shakes, ice cream yoghurt's na mtindi ni luxuries kwa familia nyingi sana.otherwise aandikiwe na daktari ndio atanunua...
Sent using Jamii Forums mobile app