Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Huo ufugaji wa mazoea ndiyo haujatuletea tija mpaka sasa. Serikali iandae masomo mafupi kwa vijana na baada ya masomo ndiyo pesa ya vikoba ianzie Hapo. Si kuwakopesha vijana bodaboda na wakipata ajali hawasaidiwi matibabu.iwawezeshe kufuga ngombe au? kwani masai ngombe wake anaofuga kawezeshwa na serikaki? Asas anayeuza maziiwa ya ngombe hadi nje ya nchi kawezeshwa na serikali?
Tuna chuo kikuu cha kilimo na vyuo kibao vya mifugo vinatoa wataalamu wabobezi wa kilimo na mifugo ila wakimaliza kusoma hawalimi wala kufuga wanazurura mijini wakiwa wamelamba suti wakitembea kifua mbele huku wakiwa wamebeba mabegi yenye laptop migongoni zenye takwimu za kilimo na mifugo wasiyofuga wala kulimaBila elimu tutaishia kuzalisha mazao hafifu kwa nguvu kubwa. Hivi unafahamu kuwa elimu ni biashara? Course za miezi mitatu kwa vijana kufifunza ukulima bora wa korosho kwa mfano utasaidia vijana na pia uchumi.
Wawezeshwe kwenye elimu ya ufugaji, hasa kwenye ubora wa nyama na ngozi, na usimlinganishe ASAS na mfugaji wa kisukuma wa kule kijijini, au mmasai, ambao kila siku wanahangaika na n'gombe zao kuwatafutia malisho.iwawezeshe kufuga ngombe au? kwani masai ngombe wake anaofuga kawezeshwa na serikaki? Asas anayeuza maziiwa ya ngombe hadi nje ya nchi kawezeshwa na serikali?
Tutashindwa hata kuzalisha organic productsTATIZO TANZANIA WAMEANZA KILIMO CHA (GMO) A GENETICALLY MODIFIED ORGANISM. AMBAPO TUTA KUWA NA VYAKULA VIBAYA VYENYE KUKUZWA HARAKA HARAKA KWA HIZO CHEMICALS. WASINGE RUHUSU HUO UCHAFU KWANZA ARDHI YETU NZURI YENYE RUTUBA ITA HARIBIKA PIA HATU TAKUWA NA VYAKULA VIZURI NATURAL KAMA ZAMANI. EEEH MUNGU KWANINI UKATU LETEA MAGUFURI!!!???
Sasa ni jukumu la nani kuwaajiri hao na kuwapeleka field wakatoe elimu kwa wahusika?Tuna chuo kikuu cha kilimo na vyuo kibao vya mifugo vinatoa wataalamu wabobezi wa kilimo na mifugo ila wakimaliza kusoma hawalimi wala kufuga wanazurura mijini wakiwa wamelamba suti wakitembea kifua mbele huku wakiwa wamebeba mabegi yenye laptop migongoni zenye takwimu za kilimo na mifugo wasiyofuga wala kulima
Vyuo vya kilimo na ufugaji viko kibao kuanzia vidogo hadi vyuo vikuu kwa hiyo serikali iwakamate kwa nguvu iwapeleke kwenye hivyo vyuo au? wakati wanaviona vipoWawezeshwe kwenye elimu ya ufugaji, hasa kwenye ubora wa nyama na ngozi, na usimlinganishe ASAS na mfugaji wa kisukuma wa kule kijijini, au mmasai, ambao kila siku wanahangaika na n'gombe zao kuwatafutia malisho.
Serikali isikwepe wajibu wake hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tungetengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.
Tatizo ndiyo hilo, vyuo vikuu vinatoa elimu ya juu kwa wachache nao wengine wanaishia kuwa wana taaluma. Unatakiwa kuandaa masomo ya vijana waliomaliza darasa la 12, Ada iwe rafiki na masomo yaweze kutoa elimu ya awaking ya kilimo bora.Tuna chuo kikuu cha kilimo na vyuo kibao vya mifugo vinatoa wataalamu wabobezi wa kilimo na mifugo ila wakimaliza hawalimi wala kufuga wanazurura mijini wakiwa wamelamba suti wakiwa wamebeba mabegi yenye laptop migongoni zenye takwimu za kilimo na mifugo wasiyofuga wala kulima
kuwaajiri au wajiajiri?Sasa ni jukumu la nani kuwaajiri hao na kuwapeleka field wakatoe elimu kwa wahusika?
Sent using Jamii Forums mobile app
uko outdated GMO tanzania ilishapigwa marufuku mazao yote vyuo vya majaribio yakaharibiwa na utafiti ukafutiliwa mbaliTATIZO TANZANIA WAMEANZA KILIMO CHA (GMO) A GENETICALLY MODIFIED ORGANISM. AMBAPO TUTA KUWA NA VYAKULA VIBAYA VYENYE KUKUZWA HARAKA HARAKA KWA HIZO CHEMICALS. WASINGE RUHUSU HUO UCHAFU KWANZA ARDHI YETU NZURI YENYE RUTUBA ITA HARIBIKA PIA HATU TAKUWA NA VYAKULA VIZURI NATURAL KAMA ZAMANI. EEEH MUNGU KWANINI UKATU LETEA MAGUFURI!!!???
Tuna chuo kikuu cha kilimo na vyuo kibao vya mifugo vinatoa wataalamu wabobezi wa kilimo na mifugo ila wakimaliza kusoma hawalimi wala kufuga wanazurura mijini wakiwa wamelamba suti wakitembea kifua mbele huku wakiwa wamebeba mabegi yenye laptop migongoni zenye takwimu za kilimo na mifugo wasiyofuga wala kulima
Nchi ya Namibia imekuwa Nchi ya kwanza kutoka Africa kwa kuweza kusafirisha nyama kwenda USA . Shehena ya kwanza ya nyama tani 25000 inaondoka mwezi huu. Tanzania tunaweza kufanya biashara ya nyama kama tukiamua kwani tuna maeneo mazuri sana ya kufugia ng'ombe .
Botswana pia ni nchi nyingine ya Kiafrika ambayo inajihusisha na usafirishaji wa nyama. Rais Kikwete alikuja na sera ya kilimo kwanza lakini iliishia kwenye makaratasi.
Bado naamini kilimo kinaweza kutupeleka mbele zaidi kuliko viwanda.Morale ya wakulima ipo chini sana hata wachaga siku hizi wana pendelea kulima ndizi zaidi kuliko kahawa
Kule nyama hawachukui ,wanataka ng'ombe mzimaisomeke wafugaji wanashindwa kupeleka nyama hapo comoro tu
Aiseeee!viking,
Tuache kufilia na kuhakikisha Bashite anaishi vizuri na yupo salama unataka eti tupoteze muda wa kuwafikiria watanzania!!! Are you serious?
Kuna kitu kinaitwa consumer behaviour kwenye uuzaji na ununuzi Wa bidhaa, watanzania wengi kunywa maziwa mpaka waandikiwe na daktari ,vivyo hivyo nyama huliwa kwa wingi baadhi ya mikoa plus matukio muhimu ndio familia hupata kitoweoSoko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tunatengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.