Namibia yapeta kusafirisha nyama Marekani

Soko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tunatengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.
Tunatengeneza vyote hivyo plus yoghurt na mtindi na tunafanya packaging nzuri sana, consumer behaviour ya wabongo ndio janga..
Hizo milk shakes, ice cream yoghurt's na mtindi ni luxuries kwa familia nyingi sana.otherwise aandikiwe na daktari ndio atanunua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nje ya mada, kuna nyama ya ranch ya taifa huwa nasikia ni nzuri sana hii ya vingunguti hamna kitu. je mabucha yake yanapatikana wapi? natamani kujaribu
 
nje ya mada, kuna nyama ya ranch ya taifa huwa nasikia ni nzuri sana hii ya vingunguti hamna kitu. je mabucha yake yanapatikana wapi? natamani kujaribu
Ipo pale karibu na mnara wa saa dar es salaam jengo nimesahau jina huwa nanunua pale
 
Hapa kwetu tu bei ya nyama haishikiki kwa sasa.
 
Soko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tunatengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.
Mmmmh wabongo hawanywagi maziwa nafuu hata Rwanda .bongo mpaka yawe prescribed na Dr .
 
Nimekusoma sana.

Inabidii tuchangamkie fursa mkuu.
 
Kama watalaamu wetu wanasubiria serikali, basi tuandike maumivu.

Ila sio kila kitu kitafanywa na serikali inabidi kama msomi uonyeshe njia
 
viking,
Wakulima hao, ni waleee .... mabeberu wa enzi zile. Settlers. Jiulize vibarua wao ni kina nani. Matter of fact ile nchi ukiingia humu ni kama "ujerumani flani". Dont compare na Bongo.
Nimeishi kusini mwa Africa , Ndio naelewa kuna wakulima Wenye asili ya kijerumani ,Je ranch za Taifa zimekwenda wapi ?
 
Ngombe zetu nyingi tatizo ni magonjwa na malishoo yao kwa ngombe syo mazuri!
Natamani ingerudi Enzi za tanganyika packers wale walikuwa wazungu na walikuwa wanasafirisha nyama nje.... Sema tulipowapora tuendeshe sisi Ahh tukauaaaaa.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Jambo la msingi Sana sana
 
Soko la maziwa la ndani hatujalitendea haki pia. Fikiria kama tunatengeneza ice cream na milkshake zisambae mpaka huku kwetu Nanjilinji na Kaliua. Yote haya yanafanikiwa kuanzia kwenye ubora wa barabara.
Huko Nanjilinji waache kunywa togwa ya Mia mbili ,ulanzi WA Mia tatu ,wanywe milkshake ya elfu tatu kweli au unataka viwanda vife
 
Nimeelewa na huwezi kuwalaumu, wengi wasiokunywa maziwa wanapata calcium kutoka kwa dagaa.
Nafasi ya maziwa ni kubwa hasa kwa watoto wadogo.kumbuka hata dagaa ni baadhi tu ya maeneo na wengi hawa afford
 
Achana na hizi ngojera.

Serikali ya Tanzania haijawahi kufurahi wananchi wake wafikie hizi levels.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ufugaji wa mazoea ndiyo haujatuletea tija mpaka sasa. Serikali iandae masomo mafupi kwa vijana na baada ya masomo ndiyo pesa ya vikoba ianzie Hapo. Si kuwakopesha vijana bodaboda na wakipata ajali hawasaidiwi matibabu.
Unapoteza muda wako.

Hivyo vikoba havikufanyi ufike levels za settlers ana mtaji wa billions of money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…