Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
Zipo wapi? Alafu nipo mkoani ArushaNenda ofcn kwao mbona simple
Report kituo cha polisi pia sambaza taarifa kwenye magroup ya mallorca Instagram na FacebookJe niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
Kwanini kakaMbona umeandika kama unakimbizwa
Kwa Arusha nafkiri Wana Depot nane nane kama sijakoseaZipo wapi? Alafu nipo mkoani Arusha
Asante kakaKwa Arusha nafkiri Wana Depot name nane kama sijakosea
NashukuruKafanya tukio gan? Kakulawiti auView attachment 3659161
SawaSubiri tamasha la Simba day utamkuta MO mwenyewe uwanjani.
Sema hapa usaidike.Je niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
Uko eneo gan arushaZipo wapi? Alafu nipo mkoani Arusha
Sijaficha kitu kakaSema hapa usaidike.
Umeshaandika jina la kampuni na namba ya gari, unaficha nini?
Alikimbia na gariChoma gari, wahusika watakuja kwa haraka zaidi.
Hii bangi ya wapi 🤣🤣🤣Subiri tamasha la Simba day utamkuta MO mwenyewe uwanjani.
Unataka umponze sio🤣Choma gari, wahusika watakuja kwa haraka zaidi.