JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
Mcheki Muddy pmJe niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF