Namkamataje dereva wa lorry la Mohammed Enterprises TanzaniaLimited (METL)aliefanya wizi kukimbia? Msaada

Nafanya privacy ndio maana sijaelezea kila kitu humu ila mwenye kuweza kunipa msaada aje pm
Privacy ni nzuri kama utafuata taratibu za kisheria, ila kama itaishia kwenye ku-post uzi tu, inawezekana kule haliko asichukuliwe hatua na maisha yakaendelea.
Ila kama unataka huko ofisini kwake wachukulie umakini kwenye hili lalamiko, ni vizuri kuweka mambo hadharani.​
 
Nakushauri andika hapa scenario yako, ficha details muhimu tu.
Tukijua tukio utapa msaada husika.
Hii gari dereva alipaki kwa takriban mwezi mmoja hela ya kupaki nikawa namhesabia anasema atalipa siku ya kuondoka akitumiwa na ofisi cha ajabu akaondoka ghafla na mpaka leo hapokei simu anadaiwa kiasi cha 150,000/= hivyo nalazimika kulipia mimi hilo deni
 
Una ushahidi wa aina gani?
 
Ni hela ambayo kubwa sana kwangu na inanifanya siishi kama kawaida
 
Una ushahidi wa aina gani?
Upo ushahidi wa camera na maongezi ya simu
20260724_073621.jpg
 
Back
Top Bottom