Mcheki Muddy pmJe niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
Nimempa option rahisi mbona 😅Hii bangi ya wapi 🤣🤣🤣
Naomba umtagMcheki Muddy pm
Tumbili in Town na umetibuliwaJe niende ofisini kwao nikamshtaki au nitoe taarifa polisi kwa udanganyifu uliofanywa na huyu dereva?? Naomba mwenye kuhusika na hii kampuni aje pm nimuelezee aweze kuchukuliwa hatua dereva mwenye gari namba T 449 DPF
Weka wazi nakupa namba ya zonal manager.Sijaficha kitu kaka
Naomba nije inbox kama unaruhusuWeka wazi nakupa namba ya zonal manager.
SawaNaomba nije inbox kama unaruhusu
Imelokiwa kakaSawa
kwamba kaiba gari au umaanisha niniAlikimbia na gari
Hapana kuna huduma alipewa akadanganya anasubiri atumiwe hela makao makuu alafu akategea usiku sana akakimbia na lorry lakekwamba kaiba gari au umaanisha nini
Una ushahidi wowote wa kumtia hatiani huyo davoHapana kuna huduma alipewa akadanganya anasubiri atumiwe hela makao makuu alafu akategea usiku sana akakimbia na lorry lake
Siku ukiibiwa ndo utajua huyu jamaa amejitahid sana kuandika!!Mbona umeandika kama unakimbizwa
Ushahidi upo wa camera na maongezi ya simu pamoja na messageUna ushahidi wowote wa kumtia hatiani huyo davo
0759 252 480 Toa taarifa kwa huyo.Imelokiwa kaka
Pole sana mwambaHapana kuna huduma alipewa akadanganya anasubiri atumiwe hela makao makuu alafu akategea usiku sana akakimbia na lorry lake
Naomba nije inbox kaka0759 252 480 Toa taarifa kwa huyo.
Nashukuru kaka msala wote nimepewa mimi ofisiniPole sana mwamba
Report police na uwe na kitu kidogo si unajua mkono mtupu haulambwi.Ushahidi upo wa camera na maongezi ya simu pamoja na message
Inbox yangu iko waziNaomba nije inbox kaka