Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nafanya privacy ndio maana sijaelezea kila kitu humu ila mwenye kuweza kunipa msaada aje pm
Nakushauri andika hapa scenario yako, ficha details muhimu tu.Sawa bro, upo ushahidi wa camera na je nikitaka ushahidi wa mawasiliano naweza kuupataje?
Ulipwe kwa unachostahiliWe ni bullshit fala kabisaaa.....Mods samahani
Nishaomba msahamaa fala wew mtu umeshindwa kumalizana unakuja hukuUlipwe kwa unachostahili
Hii gari dereva alipaki kwa takriban mwezi mmoja hela ya kupaki nikawa namhesabia anasema atalipa siku ya kuondoka akitumiwa na ofisi cha ajabu akaondoka ghafla na mpaka leo hapokei simu anadaiwa kiasi cha 150,000/= hivyo nalazimika kulipia mimi hilo deniNakushauri andika hapa scenario yako, ficha details muhimu tu.
Tukijua tukio utapa msaada husika.
Sawa ubarikiwe sanaNishaomba msahamaa fala wew mtu umeshindwa kumalizana unakuja huku
Una ushahidi wa aina gani?Hii gari dereva alipaki kwa takriban mwezi mmoja hela ya kupaki nikawa namhesabia anasema atalipa siku ya kuondoka akitumiwa na ofisi cha ajabu akaondoka ghafla na mpaka leo hapokei simu anadaiwa kiasi cha 150,000/= hivyo nalazimika kulipia mimi hilo deni
Ni hela ambayo kubwa sana kwangu na inanifanya siishi kama kawaidaHii gari dereva alipaki kwa takriban mwezi mmoja hela ya kupaki nikawa namhesabia anasema atalipa siku ya kuondoka akitumiwa na ofisi cha ajabu akaondoka ghafla na mpaka leo hapokei simu anadaiwa kiasi cha 150,000/= hivyo nalazimika kulipia mimi hilo deni
Ok ushaelewa kosa lako okkkkkSawa ubarikiwe sana
Upo ushahidi wa camera na maongezi ya simuUna ushahidi wa aina gani?
SawaOk ushaelewa kosa lako okkkkk
Wasiliana na hii namba mida ya kazi 0753 376 782.Upo ushahidi wa camera na maongezi ya simu View attachment 3659181
Gari ya ofisi au ya kwake binafsi?Hii gari dereva alipaki kwa takriban mwezi mmoja hela ya kupaki nikawa namhesabia anasema atalipa siku ya kuondoka akitumiwa na ofisi cha ajabu akaondoka ghafla na mpaka leo hapokei simu anadaiwa kiasi cha 150,000/= hivyo nalazimika kulipia mimi hilo deni
OfisiGari ya ofisi au ya kwake binafsi?
Asante sana , Mungu akubariki sana kwa kunisaidia na hatujuani AmiinWasiliana na hii namba mida ya kazi 0753 376 782.
Utapata haki yako.
Hiyo no HQ, utasaidiwa haraka.
Nadhani huko ofisini atawajibishwaOfisi
Bro habari, namba haipatikani nikipigaWasiliana na hii namba mida ya kazi 0753 376 782.
Utapata haki yako.
Hiyo no HQ, utasaidiwa haraka.