Uchaguzi 2020 Namkubali Dkt. Magufuli, siikubali CCM lakini ni propaganda potoshi kumuita Lissu kibaraka wa Wazungu

Hivi Kati ya Lissu na kikwete Nani anaewapenda wazungu yet leo Lissu ndo awe kibaraka CCM hawana aibu
 
Ni bora kibaraka kuliko wezi na wanyonyaji wa mali zetu
Hujui kibaraka wewe!

Bora fisadi anawaibia huku mko huru kujitafutia ugali wenu mtakavyo.

Kibaraka anawafanya mnakuwa watumwa na mtaolewa hata kama ni wanaume.
 
"Bila wazungu we are nothing" by Tl......
Anakera sana huyu mtu....Ila amesema kweli.
 
Huyo Lisu wenu hafiki popote. Ikulu mtaisikia kupitia kwenye twiter ya kigogo na kina maria sarungi
Wewe unafurahia lipi katika mfumo huu wa uongozi? Endapo tu VP, PM, Speaker wa Bunge hata Jaji mkuu hawana mbali ya maamlaka yao inabidi wasujudu mkuu wa wa nchi.Huu mfumo wa kifalme si sahihi kwa watu huru , kutegemea hisani ya kiongozi kaamka vipi ni dhambi kubwa inatosha.
 
Yani kwa vile wewe unaona mfumo haufai ndio unataka watz wote tuone hivyo?
 
Ile tu AMSTERDAM kumtolea matamko Lisu juu ya uchaguzi inaonesha ni jinsi gani alivyo kibaraka!

Kwani ulitaka ajioneshe wazi wazi kama yeye ni kibaraka?

Au unafikir mabeberu wanatumia watu wajinga kuwa vibaraka wao?
Hujui hata maana ya kibaraka wewe. Mtu akiamka kumtafuta daktari toka nje ya nchi naye utamuita kibaraka! ? Huyo armstadam ni wakili toka nje kumtettea mtanzania co dhambi wala haikuanzia kwa Lisu. Ficha ushamba wako wewe punguani! Lisu huyu aliyetetea mikataba kibovu ya Madini toka ccm wanayagawa hovyo chini ya mkapa anakuaje kibaraka???? Ama hufuatilii mambo ama unaishi kwa ujinga????
 
Mkuu, Lisu ni kibaraka wewe jua hilo...

Hivi Amsterdam anakuwa msemaji wa Lisu juu ya uhuru wa NEC kama nani hasa katika nchi hii?

Tunajua ni mwansheria wake kwa yaliyomsibu sawa. Lakini huku kwenye uchaguzi yeye kama nani hasa?
kama mwanasheria wake pia. kwani umekasirika?
 
Hujui hata maana ya kibaraka wewe. Mtu akiamka kumtafuta daktari toka nje ya nchi naye utamuita kibaraka! ? Huyo armstadam ni wakili toka nje kumtettea mtanzania co dhambi wala haikuanzia kwa Lisu. Ficha ushamba wako wewe punguani! Lisu huyu aliyetetea mikataba kibovu ya Madini toka ccm wanayagawa hovyo chini ya mkapa anakuaje kibaraka???? Ama hufuatilii mambo ama unaishi kwa ujinga????
Usinifokee sasa!

Amsterdam tunajua ni wakili wa Lisu kwa yaliyomkuta, sawa.

Lakini haya matamko yake ya kumsemea Lisu kuhusu uhuru wa NEC yeye anamsemea Lisu kama nani hasa?

Huu uchguzi yeye unamhusu kama nani?

Au wewe unafikiri kibaraka anajitangaza?

Yani huyo mtu wenu akili yake yote imejaa wazungu. Eti hatuwezi kuishi bila wazungu, huyu ana akili kweli?

Tutaanza lini na sisi sasa kujitegemea kwa akili na mawazo kama ya huyu mtu wenu?
 
Naogopa nsije nikawa naongea na mtu asiyesoma! Ulishawahi kusikia wapi wakili anapangiwa mambo ya kusema juu ya mtu anayemtetea? Kwamba akisema hili anakua wakil. Akisema like anakuwa kibaraka.
Upuuzi huu peleka lumumba bhana
 
Ile tu AMSTERDAM kumtolea matamko Lisu juu ya uchaguzi inaonesha ni jinsi gani alivyo kibaraka!

Kwani ulitaka ajioneshe wazi wazi kama yeye ni kibaraka?

Au unafikir mabeberu wanatumia watu wajinga kuwa vibaraka wao?
Una maana ndiyo maana hawajamtumia jiwe?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom