Uchaguzi 2020 Namkubali Dkt. Magufuli, siikubali CCM lakini ni propaganda potoshi kumuita Lissu kibaraka wa Wazungu

Ile tu AMSTERDAM kumtolea matamko Lisu juu ya uchaguzi inaonesha ni jinsi gani alivyo kibaraka!

Kwani ulitaka ajioneshe wazi wazi kama yeye ni kibaraka?

Au unafikir mabeberu wanatumia watu wajinga kuwa vibaraka wao?
Mbona hata wewe ni kibaraka wa weusi wenzako?
 
Usinifokee sasa!

Amsterdam tunajua ni wakili wa Lisu kwa yaliyomkuta, sawa.

Lakini haya matamko yake ya kumsemea Lisu kuhusu uhuru wa NEC yeye anamsemea Lisu kama nani hasa?

Huu uchguzi yeye unamhusu kama nani?

Au wewe unafikiri kibaraka anajitangaza?

Yani huyo mtu wenu akili yake yote imejaa wazungu. Eti hatuwezi kuishi bila wazungu, huyu ana akili kweli?

Tutaanza lini na sisi sasa kujitegemea kwa akili na mawazo kama ya huyu mtu wenu?
Wewe unaweza kutuambia hapa Tanzania inajitegemea kwenye nn? Malaria ndiyo ugonjwa unaongoza kuua watu dawa zake unatengeneza wewe au wazungu?
Mtoto mdogo tangu azaliwe hadi akue anapatiwa chanjo 9 hivi hizo chanjo zinatoka wapi?
Idara ya ustawi wa jamii haina bajeti kabisa na ndiyo inahusu maisha ya watu kama siyo wazungu unategemea ingeendeshwa vipi?
Juzi mlinunua madubwasha yenu kutoka huko kwa wazungu mnaweza hata kuyapaka rangi?
NI MPUUZI TU ANAYEWEZA KUHUBIRI UBEBERU KATIKATI YA GLOBALIZATION! WEWE MMOJAWAPO
 
Sasa tutaanza lini kujitegemea kama Lisu anaona kwamba hatuwezi kuishi bila wazungu?

Hivi mtu hujui kutembea badala ya uache magongo ili utembee uzoee kuna mtu anakuja anasema usiyaache sasa utaanzaje kutembea bila kutegemea magongo usipoyaacha?

Huyu mtu wenu bure kabisa
 
Naogopa nsije nikawa naongea na mtu asiyesoma! Ulishawahi kusikia wapi wakili anapangiwa mambo ya kusema juu ya mtu anayemtetea? Kwamba akisema hili anakua wakil. Akisema like anakuwa kibaraka.
Upuuzi huu peleka lumumba bhana
Kwahiyo Lisu kamuweka wakili wake Amsterdam amtetee na kuwa msemaji wake wa mambo ya uchaguzi wa tz?

Sasa tukisema ni kibaraka mnabisha nini?
 
Ile tu AMSTERDAM kumtolea matamko Lisu juu ya uchaguzi inaonesha ni jinsi gani alivyo kibaraka!

Kwani ulitaka ajioneshe wazi wazi kama yeye ni kibaraka?

Au unafikir mabeberu wanatumia watu wajinga kuwa vibaraka wao?
Naamini amelazimika kuajiri Wanasheria Wa nje ili kujilinda kutokana na ukweli kuwa alishanusurika kuuawa na Serikali ya Tanzania haikuonesha kujali hata kukamata inzi waliokuwepo eneo LA Shambulio.

Kutumia hii kama sababu kuwa Lissu anatumwa na Mabeberu ni kujidhalilisha mbele ya watu wenye akili timamu.
 
Aah wapi, wewe itabidi umulikwe sawasawa,yaani unachukia chama kilichokukuza na kukusomesha kweli?
Sijasomeshwa na chama wala kunikuza. Walipambana wazaz wangu nimekuwa mpaka hapa nilipo.
 
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa.

Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani.

Zamani za CUF tulitishiwa udini.
CHADEMA na slaa tukaambiwa vita na machafuko.
Lowasa fisadi huku Mahakama ya mafisadi ikibaki inapiga mihayo bila wateja.

Leo Lissu Jamii inaaminishwa ni mtu Hatari na Kibaraka Mkubwa wa wezi wa madini, wazungu na mabeberu kwa Aina zao.

Kwa CCM hii ni Kete nzuri ya kuhadaa wananchi lkn miaka ya 2015 kurudi nyuma sio Leo.

Wengi tunataka facts sio porojo.

Napenda kumpinga sana Lissu, na niliumia aliposadikiwa kupigwa risasi, nilimuombea sana apone haraka ili nimpinge akiwa mzima kwa facts ila hilo la kumuita kibaraka sio sawa.

Mnamuonea wakuu
Uliumia aliposadikiwa kupigwa risasi????? Bandiko lako nimelidharau kwa kauli hii tu
 
Wajibu maswali ya lisu:
1:Mabeberu ni wazungu wanaotupa pesa za elimu,ukimwi na misaada?
2: Mabeberu ni wawekezaji wa migodi?
 
Namuomba msemaji wa CHADEMA naye amuite Magufuli kibaraka wa Rwanda.
 
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa.

Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani.

Zamani za CUF tulitishiwa udini.
CHADEMA na slaa tukaambiwa vita na machafuko.
Lowasa fisadi huku Mahakama ya mafisadi ikibaki inapiga mihayo bila wateja.

Leo Lissu Jamii inaaminishwa ni mtu Hatari na Kibaraka Mkubwa wa wezi wa madini, wazungu na mabeberu kwa Aina zao.

Kwa CCM hii ni Kete nzuri ya kuhadaa wananchi lkn miaka ya 2015 kurudi nyuma sio Leo.

Wengi tunataka facts sio porojo.

Napenda kumpinga sana Lissu, na niliumia aliposadikiwa kupigwa risasi, nilimuombea sana apone haraka ili nimpinge akiwa mzima kwa facts ila hilo la kumuita kibaraka sio sawa.

Mnamuonea wakuu

ni siasa tu, ila na yeye badala ya kupangua ndo anakazia kabisa ataweka mahusiano na nchi zingine, kwahio ni kete moja ilioenda vizuri, ukifuatilia comments nyingi hio kete imeshawaingia jamaa atauza nchi, na ndo goli la kumuulia lisu lipo apa! ilikua smart tactic
 
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa.

Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani.

Zamani za CUF tulitishiwa udini.
CHADEMA na slaa tukaambiwa vita na machafuko.
Lowasa fisadi huku Mahakama ya mafisadi ikibaki inapiga mihayo bila wateja.

Leo Lissu Jamii inaaminishwa ni mtu Hatari na Kibaraka Mkubwa wa wezi wa madini, wazungu na mabeberu kwa Aina zao.

Kwa CCM hii ni Kete nzuri ya kuhadaa wananchi lkn miaka ya 2015 kurudi nyuma sio Leo.

Wengi tunataka facts sio porojo.

Napenda kumpinga sana Lissu, na niliumia aliposadikiwa kupigwa risasi, nilimuombea sana apone haraka ili nimpinge akiwa mzima kwa facts ila hilo la kumuita kibaraka sio sawa.

Mnamuonea wakuu
Napenda kumpinga sana Lissu, na niliumia aliposadikiwa kupigwa risasi, nilimuombea sana apone haraka ili nimpinge akiwa mzima kwa facts ila hilo la kumuita kibaraka sio sawa.

Mnamuonea wakuu
[emoji818][emoji1548][emoji1536]
 
ingawa kwa kiasi flan jamaa ni kibaraka,jinsi alihandle ile issue ya makinikia , ilikua total failure kwao, ukiongeza na jinsi corona ilienda, kwa kifupi jamaa ana element za kijasusi, na kuna uwezekano kuna watu wanampa bichwa mambele uko ndo maaana haogopi, to describe him yes anaweza kua kibaraka
 
Kwahiyo Lisu kamuweka wakili wake Amsterdam amtetee na kuwa msemaji wake wa mambo ya uchaguzi wa tz?

Sasa tukisema ni kibaraka mnabisha nini?
Acha ujuha wewe mtu kutetewa na wakili sio kibaraka. Soma kamusi ya kiswahili ujue maana ya kibaraka . Mjini umekuja lini mzee
 
Huyo mtu wenu hafiki popote watz hawatachagua kibaraka
Watz wapi unaowazungumizia? Watz wamechoka! Sukali mwaka 2015 ilikuwa 1800 sasahivi ni @3000-3500! Pamba ilikuwa sh 2400@ sasahivi 1200! Kahawa ilikuwa sh 2500-3000 sasahivi ni 1200! kulikuwa na soko kubwa la mazao sasahivi mkulima analia!! Mbaazi ilikuwa inauzwa sh 3000@kg sasahivi ni 200!
 
Sasa tutaanza lini kujitegemea kama Lisu anaona kwamba hatuwezi kuishi bila wazungu?

Hivi mtu hujui kutembea badala ya uache magongo ili utembee uzoee kuna mtu anakuja anasema usiyaache sasa utaanzaje kutembea bila kutegemea magongo usipoyaacha?

Huyu mtu wenu bure kabisa
Unajitegemea mini wewe more than 47% ya bajeti ya afya unapewa na wazungu?.nchi isiyoweza hata kutibu hata Wazee wasiojiweza tu inasemaje kusema ati unajitegemea? Mpaka matundu ya choo cha shule unajengewa naa JAICA utwambie unajitegemea hapa
Peleka uppu wako lumumba huko.
Huko mnakoambiana mtu akitetewa na wakili mzungu ati ni kibaraka aibu hii?
Kama kutetewa na mzungu ni kibaraka kutibiwa na mzungu je?
 
Back
Top Bottom