Huyo NWM ni wa usukumani au ni wa Tanzania?Huyu ndiye alipaswa kuwa NWM. Huyu ana ushawishi usukumani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo NWM ni wa usukumani au ni wa Tanzania?Huyu ndiye alipaswa kuwa NWM. Huyu ana ushawishi usukumani
Huyu jamaa hataaseme nini nilizuzu kweli kwanza nikichaaa katuumiza wavuvi kwawizi wake yeye namwendazake
Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi kuhusiana na hoja zake. Ilifikia wakati mpaka Waziri wa Fedha anapata jazba kuhusiana na hoja zake ambazo kwa kweli zilikuwa hoja zilizo na mashiko.
Nimeona karibu Wabunge wengi hawapitii hizi sheria kabla hazijaingia Bungeni na jana asilimia 99 walikuwa kimya isipokuwa Jemedari Mhe. Mpina. Mhe. Mpina kwa kweli anasoma na kufanya utafiti ndo maana ushauri wake pengine unawaudhi wahusika.
Mwisho, nikupongeze Mhe. Mpina endelea kuishauri Serikali hata pale unapochukiwa.
Hata mim ningezichoma ni nchi gani inaruhusu huo ujinga ,tatizo kwa tanzania mtu akisimamia sheria anaoneka doctetaHuyu jamaa hataaseme nini nilizuzu kweli kwanza nikichaaa katuumiza wavuvi kwawizi wake yeye namwendazake
Pumbavu kaa kimya uvuvi haram serekali inaweza kutoa lesenii?pili ivyokuwa walikuwa wakisema hayo mengine nigeresha lakini wao kikubwa walichotumwa nipesa kama ukitoa pesa hawachomi ubisha wanachoma kwasababu shida yaonipesa tu mpina nimwizi tena jambazi mpaka leohajasema alikusanya kiasi kwawavuvi alizozulumu anaona aibu sanaHata mim ningezichoma ni nchi gani inaruhusu huo ujinga ,tatizo kwa tanzania mtu akisimamia sheria anaoneka docteta
Kurusu ulaji tu. Mbona hakusoma kifungu cha 66 sheria ya zamani. Speaker mpigaji serikali ya mpigaji.Jamani hamjaelewa tu samia analipeleka taifa pabaya? Sheria gani hiyo kuruhusu nchi kununua vitu chakavu. Bila shaka udhibiti utakua hauwezekani serikali itakua inauziwa vitu vibovu kwa bei mbaya.
Swali
Hivi wabunge wengine Huwa hawazisikii hoja za Mpina kuungana kupinga jambo ambalo hakina Tija?
View: https://youtube.com/watch?v=2id2Un32SSw&si=Bnri7JcHg9ykufyI
Kwani sheria za nchi hasa kwenye maswala ya uvuvi na kulinda rasilimali za ziwa zilikua zinasemaje?Amechelewa sana kuamka, hapo nyuma alikuwa kinara wa kuchoma moto nyavu za wavuvi na kuleta samaki bungeni kuwapima na rula. Luhaga Mpina amechelewa sana kuamka usingizini, japo angalao kawaacha wale wenzake wa kijami wakiwa usingizini.
Swali
Hivi wabunge wengine Huwa hawazisikii hoja za Mpina kuungana kupinga jambo ambalo hakina Tija?
View: https://youtube.com/watch?v=2id2Un32SSw&si=Bnri7JcHg9ykufyI