Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please mwenye picha ya huyo dada naomba, pia mawasiliano yake nikimaanisha namba za simu anipatie tafadhali.