Namkubali sana Mamybeib wa XXL Clouds Fm, natamani kumfahamu

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please mwenye picha ya huyo dada naomba, pia mawasiliano yake nikimaanisha namba za simu anipatie tafadhali.
 
Mkuu inawezekana hapendezi kwa sura ndio maana hajawahi kuonekana hata CLOUDS TV. Hata mm nilikuwa navutiwa na sauti ya Anjela Mwoleka wakati akiwa Radio One...nilidhani ni shombeshombe la kiarabu hadi nilipokuja kumuona live sikuamini. Kumbe sura na sauti mara nyingi huwa haviendani.
 
Hahahaha yule aliyeenda BBC? Ila mm nadhani huyu hata akisoma habari kwenye TV hata kama anamuonekano gani lazma sauti itambeba tu
 
Ndio. Ni yule aliyeenda BBC. Mwanzo nilidhani atakuwa msichana fulani hv mwenye sura ya kipemba, kitanga au kinyaturu...kumbe sivyo. Na huyu wako unayemtafuta nadhani hatofautina sana na Mwoleka. Hahahahahaha!
 
Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please mwenye picha ya huyo dada naomba, pia mawasiliano yake nikimaanisha namba za simu anipatie tafadhali.
665b5d3eca9a1078615c2cc3f8dbd357.jpg
kazi kwako
 
Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please mwenye picha ya huyo dada naomba, pia mawasiliano yake nikimaanisha namba za simu anipatie tafadhali.
1479452061273.png
 
Back
Top Bottom