Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Namkubali sana mheshimiwa Sumaye ni mpole hana mbwembwe hajui kulipa kisasi na mtulivu. Alipotofautiana na Jakaya enzi zile alijiendea zake kusoma Marekani na MAGUFULI alivyompokonya mashamba yake Morogoro hakujibu alikaa kimya aliacha muda uongee.