Namkubali sana Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye

Namkubali sana Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye

Siasa hizi
Kipindi anastaafu kama kumbukumbu zangu ziko vizuri kulikuwa na uvumi kuwa ana utajiri wa triln kadhaa
Sumaye sio mchaga ni mbulu au muiraq
Hapana binafsi namheshm Sana, na nakumbuka awamu zote akizofanya kazi. Was smart guy. Katika wachagga I liked sumaye. Hadi leo nampenda tu mchagga yule
 
Back
Top Bottom