Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,527
Reaction score
14,881
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA.

Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya Ligi siku ya mechi ikaghairisha mchezo kwa kumalizia pia kuwa “Wanafanya Uchunguzi ili kutoa majibu na hukumu ya Haki” maliza aya hii kisha pigia mstari neno UCHUNGUZI.

YES mmoja ambaye hakuridhishwa na haya anaitwa YANGA yeye akakimbilia CAS kuomba “Request for a stay” kwamba mechi isipangiwe tarehe mpaka pale ambapo shauri la msingi litasikilizwa, Simba na Bodi walisimamia neno UCHUNGUZI na Yanga akasimamia neno SHAURI kifupi yeye alikuwa na Madai yake kuwa mechi ilighairishwa kwasababu ambazo sio za msingi.

Kwenye sakata hili kuna namna Yanga alikuwa mbele ya muda kuliko BODI YA LIGI, kwanini? Kwasababu Yanga nadhani walikuwa na Intel nzuri kuwa Bodi watapangia tarehe mechi bila Uchunguzi au kuwasikiliza, ni uongo? Kama ni Uongo lini Bodi wamewaita Simba na Yanga? Lini wameketi kuzungumzia suala hili? Bodi alichofanya ni kutangaza tarehe ya mchezo tu, je Yanga hakuwa sahihi kuomba request for a stay? Majibu tafadhali.

CAS wametaka Wananchi warejee ndani kuchakata upya sakata hili, lakini tuwe wa wazi TFF na TPLB zina utofauti gani? Kama Mkataba wa Udhamini wa Ligi ambao kimsingi unapaswa kusimamiwa na Bodi ila upo Karume unategemea nini? Kama Klabu kwenye Kanuni haziruhusiwi kuongea na Mdhamini wa Ligi bila idhini ya TFF, utasema Bodi ipo huru? Kifupi kinachoamuliwa na Bodi ndio Msimamo wa Federation, hapo kuna ubaya Yanga akikosa imani?

TECHNICALLY kwakuwa TPLB ilishasema kuwa wanafanya UCHUNGUZI tulitarajia waingie field tangu Machi 20 mpaka leo walipaswa kuja na majibu, ambayo Yanga wangeyapokea na kuyaelewa vyema kisha kupeleka timu uwanjani, pamoja na Simba pia angeyaelewa vyema kwakuwa nae alitaka Uchunguzi kisha nao wangeenda uwanjani, unaweza waona Yanga Wakorofi ila Bodi hajategua mtego wa Simba wala wa Yanga.

BODI YA LIGI mnapaswa kubeba Msalaba wenu, msiwatupie Yanga.

INAENDELEA.

Credit:Farhan Kihamu

NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA PILI.

Kitu chochote akifanya Simba au Yanga kuwa makini sana, katika dunia ya kawaida huku tunaamini Simba na Yanga ni Washindani ila HAPANA, huko juu hizi Klabu hazishindani bali zinashirikiana, zina Watu makini na wenye weledi, usiendee mambo yao kichwa kichwa, ukikaa na Kiongozi wa Yanga usimseme wa Simba, ukikaa na wa Simba usimseme wa Yanga, hawa hawashindani wanashirikiana na wanahitajiana.

Kwanini nasema hivyo? Nataka kukwambia kuwa kabla hawajafanya kitu wanapiga mahesabu yao kwa usahihi sana, kwenye hili BODI YA LIGI aliingia vibaya na yeye amejikuta kati, Yanga anataka alama tatu na hajui anampaje, Simba anaitaka mechi na Bodi haijui Yanga anaingiaje, ni kwanini nasema kuna mahesabu yamepigwa? Halafu Bodi kajikuta amechagua upande bila kujijua.

Tazama timing ya Simba Sports, kamsogezea Bodi kete ya Moto kuwa hachezi mechi, Bodi kaingia wavuni yeye kwa kughairisha mechi maana yake Kimpira ili mechi iwe imegomewa ni Waamuzi kufika uwanjani na kukamilisha taratibu ambao hawakuwepo, technically Simba kashaondoka kwenye Msala halafu karudi default mode, hataki majibu ya Uchunguzi tena bali anaitaka Mechi, hesabu hizo.

Ni kama Yanga alikuwa anahesabu step za Simba, ni kama walisaidiana kutega mitego ukitazama kwa jicho la Kijasusi, kwasababu karata ya Simba ilichezwa kwa kumkadiria Bodi ya Ligi na Yanga akaja kucheza karata ya kumkadiria Bodi halafu akaenda CAS kuzigongesha Bodi na TFF ambapo kwenye Utetezi TFF amekana kuwa yeye haingilii majukumu ya Bodi, je ni kweli? Kwa ground hii Ukitazama ligi inavyoenda ni kuwa TFF na Bodi ni Diamond na Zuchu, huwezi watenganisha.

Hata ukienda kuitazama ile taarifa ya CAS, Simba na TFF waliwasilisha Utetezi wao ila BODI haikuwasilisha ikitajwa kuwa WALICHELEWA, sasa Mhusika Mkuu anachelewaje kuwasilisha hoja zake? Something fishy here, hatimae goli limebaki wazi Simba anataka mechi au alama zake, Yanga haitaki mechi na itabidi washushwe daraja, Bodi anachekecha Yanga acheze ambapo ni kama kumlisha Yanga matapishi yake, ni kama kumbebesha Msalaba wake, kitu ambacho hakiwezekani.

WASALAAM.
20250507_192749.jpg
 
Kujua hata Sheria kidogo ni muhimu sana. Huwa najiuliza Kama viongozi wa yanga Wana elimu hata kidogo. Hawana iman na board ya ligi yes lakin peleka shauri lako then wakikujibu ndo uende mbele kwamba hujaridhika na majibu. Mpira wa nchi hii upo chini ya TFF. Sasa Kama hamna Imani si achaneni na mpira wa nchi hii? Ushauri wangu TUJITAHIDI SANA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.
 
Je hilo shauri lako unaipeleka wapi?
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
mnataka uchunguzi gani.wakati mmesema HAMNA IMANI NAO.NA mmekimbilia CAS na huko cas wamewatoa BARU?
kilichobaki sasa hivi ni kuoneshana umwamba.
nani mkubwa.ila kumbuka TFF ndo kashika mpini
 
Yanga hawezi kuburuzwa
 
mnataka uchunguzi gani.wakati mmesema HAMNA IMANI NAO.NA mmekimbilia CAS na huko cas wamewatoa BARU?
kilichobaki sasa hivi ni kuoneshana umwamba.
nani mkubwa.ila kumbuka TFF ndo kashika mpini
Taarifa ya uchunguzi inatakiwa na simba na yanga,,,,simba katika barua yao walisema hawatapeleka timu uwanjani mpaka hao wahuni waliowazuia wabainike na waadhibiwe.
 
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA.

Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya Ligi siku ya mechi ikaghairisha mchezo kwa kumalizia pia kuwa “Wanafanya Uchunguzi ili kutoa majibu na hukumu ya Haki” maliza aya hii kisha pigia mstari neno UCHUNGUZI.

YES mmoja ambaye hakuridhishwa na haya anaitwa YANGA yeye akakimbilia CAS kuomba “Request for a stay” kwamba mechi isipangiwe tarehe mpaka pale ambapo shauri la msingi litasikilizwa, Simba na Bodi walisimamia neno UCHUNGUZI na Yanga akasimamia neno SHAURI kifupi yeye alikuwa na Madai yake kuwa mechi ilighairishwa kwasababu ambazo sio za msingi.

Kwenye sakata hili kuna namna Yanga alikuwa mbele ya muda kuliko BODI YA LIGI, kwanini? Kwasababu Yanga nadhani walikuwa na Intel nzuri kuwa Bodi watapangia tarehe mechi bila Uchunguzi au kuwasikiliza, ni uongo? Kama ni Uongo lini Bodi wamewaita Simba na Yanga? Lini wameketi kuzungumzia suala hili? Bodi alichofanya ni kutangaza tarehe ya mchezo tu, je Yanga hakuwa sahihi kuomba request for a stay? Majibu tafadhali.

CAS wametaka Wananchi warejee ndani kuchakata upya sakata hili, lakini tuwe wa wazi TFF na TPLB zina utofauti gani? Kama Mkataba wa Udhamini wa Ligi ambao kimsingi unapaswa kusimamiwa na Bodi ila upo Karume unategemea nini? Kama Klabu kwenye Kanuni haziruhusiwi kuongea na Mdhamini wa Ligi bila idhini ya TFF, utasema Bodi ipo huru? Kifupi kinachoamuliwa na Bodi ndio Msimamo wa Federation, hapo kuna ubaya Yanga akikosa imani?

TECHNICALLY kwakuwa TPLB ilishasema kuwa wanafanya UCHUNGUZI tulitarajia waingie field tangu Machi 20 mpaka leo walipaswa kuja na majibu, ambayo Yanga wangeyapokea na kuyaelewa vyema kisha kupeleka timu uwanjani, pamoja na Simba pia angeyaelewa vyema kwakuwa nae alitaka Uchunguzi kisha nao wangeenda uwanjani, unaweza waona Yanga Wakorofi ila Bodi hajategua mtego wa Simba wala wa Yanga.

BODI YA LIGI mnapaswa kubeba Msalaba wenu, msiwatupie Yanga.

INAENDELEA.

Credit:Farhan Kihamu
View attachment 3327155
Karia kaona anawaogopa wajumbe wa bodi kaamua kulipeleka jambo bungeni ili ionekane sio yeye kawashinikiza wajiondoe. Sasa hivi wataambiwa ni shinikizo la bunge. Ni suala la muda tu wale wazee pale wanatema bungo
 
Taarifa ya uchunguzi inatakiwa na simba na yanga,,,,simba katika barua yao walisema hawatapeleka timu uwanjani mpaka hao wahuni waliowazuia wabainike na waadhibiwe.
acha JANJA JANJA KIJANA.usitulishe maneno
 
Attachments

  • Screenshot_20250507-203534.png
    Screenshot_20250507-203534.png
    325.3 KB · Views: 37
anajiburuza mwenyewe
kwa kukosa akili.nyie mlijua simba atakubali alafu nyie mtapewa adhabu ya kumzuia simba kufanya mazoezi ila mambo yamebadilika
Bodi ya ligi walimficha Simba na kubariki uhuni wa Simba
Yanga walifika uwanjani wakakuta timu pinzani haipo
Sasa bodi ya ligi watajua Simba watacheza na nani, kwetu Yanga mechi imeisha
 
soma kwa makini barua ya simba hatua kwa hatua.alafu niambie simba wanasema tatizo limeanzia wapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20250507-203534.png
    Screenshot_20250507-203534.png
    311.6 KB · Views: 39
Umesoma vizuri hiyo aya ya mwisho? Nilichoandika Mimi ni maneno yaliyotamkwa na Magori...na yanafanana na hiyo aya ya mwisho...
kuchukuliwa hatua stahiki ndo kufanya UCHUNGUZI?
tafsiri ya wapi hii?..
kati ya simba na yanga nani anayesema HACHEZI?
 
soma kwa makini barua ya simba hatua kwa hatua.alafu niambie simba wanasema tatizo limeanzia wapi?
Tatizo lilianzia kwa makamandoo wa yanga kuwazuia simba wasiingie uwanjani.....ilitakiwa bodi ya ligi iwaadhibu hao kwa mujibu wa kanuni na sio kuahirisha mechi....na kwa kuwa hawajawaadhibu mpaka Leo kuna uwezekano hawana ushahidi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣.kumbe ndo mlivyozoea.kwamba mtapewa adhabu ya kulipa faini yanaisha.
round hii mtanyooka.hakuna faini.lete timu uwanjani
 
kuchukuliwa hatua stahiki ndo kufanya UCHUNGUZI?
tafsiri ya wapi hii?..
kati ya simba na yanga nani anayesema HACHEZI?
Uchunguzi ndio unakujulisha mkosaji then unamchukulia hatua.

Aya ya mwisho hapo simba inasema haitoshiki mchezo husika,,,huo mchezo husika ni mechi namba 184,,,na ndio hiyo imepangiwa tarehe 15/6.
 
Back
Top Bottom