Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

Uchunguzi ndio unakujulisha mkosaji then unamchukulia hatua.

Aya ya mwisho hapo simba inasema haitoshiki mchezo husika,,,huo mchezo husika ni mechi namba 184,,,na ndio hiyo imepangiwa tarehe 15/6.
acha uongo wewe.mchezo husika ni ule ulioghairishwa sio huu uliopangiwa tarehe mpya.usitugombanishe na bodi ya ligi.sisi hatujaenda CAS.
 
kwani msipocheza tunapungukiwa na nini🤣🤣🤣 .na hata mechi zilizobaki msicheze
Hiyo derby kacheze na Karia
Yanga tumesema imekwisha, nyie mpo mnalia
HATUCHEZI tuone kama hiyo bodi itawapa points 3, kuipoka Yanga points na kushuka daraja
 
🤣🤣🤣🤣.na sisi ndo tunapenda hivyo msicheze
 
Hiyo derby kacheze na Karia
Yanga tumesema imekwisha, nyie mpo mnalia
HATUCHEZI tuone kama hiyo bodi itawapa points 3, kuipoka Yanga points na kushuka daraja
Mna Susa? Susaa! Susaaaaa! Susaaaaaaaaa! Mnambabaisha nani? Susaaa! Ikiwezekana hamieni ligi ya Burundi huko.
 
NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA PILI.

Kitu chochote akifanya Simba au Yanga kuwa makini sana, katika dunia ya kawaida huku tunaamini Simba na Yanga ni Washindani ila HAPANA, huko juu hizi Klabu hazishindani bali zinashirikiana, zina Watu makini na wenye weledi, usiendee mambo yao kichwa kichwa, ukikaa na Kiongozi wa Yanga usimseme wa Simba, ukikaa na wa Simba usimseme wa Yanga, hawa hawashindani wanashirikiana na wanahitajiana.

Kwanini nasema hivyo? Nataka kukwambia kuwa kabla hawajafanya kitu wanapiga mahesabu yao kwa usahihi sana, kwenye hili BODI YA LIGI aliingia vibaya na yeye amejikuta kati, Yanga anataka alama tatu na hajui anampaje, Simba anaitaka mechi na Bodi haijui Yanga anaingiaje, ni kwanini nasema kuna mahesabu yamepigwa? Halafu Bodi kajikuta amechagua upande bila kujijua.

Tazama timing ya Simba Sports, kamsogezea Bodi kete ya Moto kuwa hachezi mechi, Bodi kaingia wavuni yeye kwa kughairisha mechi maana yake Kimpira ili mechi iwe imegomewa ni Waamuzi kufika uwanjani na kukamilisha taratibu ambao hawakuwepo, technically Simba kashaondoka kwenye Msala halafu karudi default mode, hataki majibu ya Uchunguzi tena bali anaitaka Mechi, hesabu hizo.

Ni kama Yanga alikuwa anahesabu step za Simba, ni kama walisaidiana kutega mitego ukitazama kwa jicho la Kijasusi, kwasababu karata ya Simba ilichezwa kwa kumkadiria Bodi ya Ligi na Yanga akaja kucheza karata ya kumkadiria Bodi halafu akaenda CAS kuzigongesha Bodi na TFF ambapo kwenye Utetezi TFF amekana kuwa yeye haingilii majukumu ya Bodi, je ni kweli? Kwa ground hii Ukitazama ligi inavyoenda ni kuwa TFF na Bodi ni Diamond na Zuchu, huwezi watenganisha.

Hata ukienda kuitazama ile taarifa ya CAS, Simba na TFF waliwasilisha Utetezi wao ila BODI haikuwasilisha ikitajwa kuwa WALICHELEWA, sasa Mhusika Mkuu anachelewaje kuwasilisha hoja zake? Something fishy here, hatimae goli limebaki wazi Simba anataka mechi au alama zake, Yanga haitaki mechi na itabidi washushwe daraja, Bodi anachekecha Yanga acheze ambapo ni kama kumlisha Yanga matapishi yake, ni kama kumbebesha Msalaba wake, kitu ambacho hakiwezekani.

WASALAAM.
 
Kujua hata Sheria kidogo ni muhimu sana. Huwa najiuliza Kama viongozi wa yanga Wana elimu hata kidogo. Hawana iman na board ya ligi yes lakin peleka shauri lako then wakikujibu ndo uende mbele kwamba hujaridhika na majibu. Mpira wa nchi hii upo chini ya TFF. Sasa Kama hamna Imani si achaneni na mpira wa nchi hii? Ushauri wangu TUJITAHIDI SANA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.
Ushauri huu wa kupeleka watoto shule ilikua uanze kwa baba yako kama hutokani ni single mother, maana wewe ndio unaonekana hujaenda shule. Wapi Yanga wamezungumzia kutokua na Imani na Bodi ya ligi nje ya sakata hili la derby mpaka utake Yanga asusie ligi yote?
Yanga Akitaka kususia ligi yote ataanza mwanzo wa msimu.
Zanzibar, Rwada na Burundi mate yanawatoka wako tayari hata hivi sasa kuwakaribisha.
Ni uwamuzi wao tu waende wapi.
Nchi gani kati ya hizi isiyotamani kuwa na timu kama Yanga kwenye ligi yao itakayoweza kuipaisha kimataifa?
 
Basi wahamie huko. Huwez ukakosa Iman kwenye jambo moja then ukawa na Iman kwenye jambo lingine na wakati msimamizi ni mmoja. CAS wenyewe wanawaona wajinga tu ndio maana haijachukua hata muda kuitupilia mbali kesi yenu. Cha kukushauri tafuta shule maana elimu ni bure. Tumekuwa na wajinga wengi nchini ndio maana tunaonekana vituko sana. We fikiria timu inadai point 3 na mashabiki wao wajinga wanaamini et CAS itawapa point tatu
 
Uchunguzi ndio unakujulisha mkosaji then unamchukulia hatua.

Aya ya mwisho hapo simba inasema haitoshiki mchezo husika,,,huo mchezo husika ni mechi namba 184,,,na ndio hiyo imepangiwa tarehe 15/6.
Uchunguzi huo majibu yake yako wapi ili tujue mwenye kosa nani?

Kama yanga wamekosea kwanini hawajapewa adhabu?

Badala yake mchezo unapangwa tena?

Tumia akili
 
Basi wahamie huko. Huwez ukakosa Iman kwenye jambo moja then ukawa na Iman kwenye jambo lingine na wakati msimamizi ni mmoja. CAS wenyewe wanawaona wajinga tu ndio maana haijachukua hata muda kuitupilia mbali kesi yenu. Cha kukushauri tafuta shule maana elimu ni bure. Tumekuwa na wajinga wengi nchini ndio maana tunaonekana vituko sana. We fikiria timu inadai point 3 na mashabiki wao wajinga wanaamini et CAS itawapa point tatu
Siku zote mjinga hujifanya mwerevu

File la kesi hiyo lipo TFF wakati bodi ya ligi ndiyo wahusika wakuu wakadai walichelewa kupeleka vithibitisho CAS badala yake wakapeleka TFF

Kwahiyo bodi haipo independent remote ni TFF bado unaona yanga wajinga

Sasa hapa nani ana akili kama sio wewe kuonyesha ujinga wako hapa hadharani mbele ya wenye akili?
 
Huna imani na uongozi wa ligi huku ukiongoza msimamo na umebeba ubingwa mara nne mfululizo.
 
Siku zote mjinga hujifanya mwerevu

File la kesi hiyo lipo TFF wakati bodi ya ligi ndiyo wahusika wakuu wakadai walichelewa kupeleka vithibitisho CAS badala yake wakapeleka TFF

Kwahiyo bodi haipo independent remote ni TFF bado unaona yanga wajinga

Sasa hapa nani ana akili kama sio wewe kuonyesha ujinga wako hapa hadharani mbele ya wenye akili?
Wewe mwenyewe nikikuambia elewa ulichoandika utashindwa. Nyie yanga mm nawashauri tafuteni shule
 
Ushauri huu wa kupeleka watoto shule ilikua uanze kwa baba yako kama hutokani ni single mother, maana wewe ndio unaonekana hujaenda shule. Wapi Yanga wamezungumzia kutokua na Imani na Bodi ya ligi nje ya sakata hili la derby mpaka utake Yanga asusie ligi yote?
Yanga Akitaka kususia ligi yote ataanza mwanzo wa msimu.
Zanzibar, Rwada na Burundi mate yanawatoka wako tayari hata hivi sasa kuwakaribisha.
Ni uwamuzi wao tu waende wapi.
Nchi gani kati ya hizi isiyotamani kuwa na timu kama Yanga kwenye ligi yao itakayoweza kuipaisha kimataifa?
Acha kutuona mafala kimataifa gani unayoizungumzia ?

wewe hujanwa maji ya bendera ya Yanga tu umemalizia na maji ya chupi ya Hamisa mobeto kwa hisani ya Azizi bushoke ki.

Yanga wanatofauti gani na Mlandege,Apr au Kiyovu huko kimataifa au kimataifa ya kombe la muungano?
 
Weka namba uokote
1000280474.jpg
 
Taarifa ya uchunguzi inatakiwa na simba na yanga,,,,simba katika barua yao walisema hawatapeleka timu uwanjani mpaka hao wahuni waliowazuia wabainike na waadhibiwe.
Bodi sio wajinga, wanawafichia aibu viongozi wa uto. Unadhani leonwakiwapiga lungu kuwa walisjiriki kuharibu mechi itakuaje?

Hata viongozi wa uto wanajua walichokifanya. Huwezi kuwaona wakipiga kelele isipokuwa vispika tu vya klabu.
 
Kujua hata Sheria kidogo ni muhimu sana. Huwa najiuliza Kama viongozi wa yanga Wana elimu hata kidogo. Hawana iman na board ya ligi yes lakin peleka shauri lako then wakikujibu ndo uende mbele kwamba hujaridhika na majibu. Mpira wa nchi hii upo chini ya TFF. Sasa Kama hamna Imani si achaneni na mpira wa nchi hii? Ushauri wangu TUJITAHIDI SANA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.
Kwanza ili tuendelee na mjadala lete idadi ya kesi alizoshinda yanga ambazo hazija simamiwa na TFF ili tupime mzani.
 
Ripoti ya chunguzi haijatolewa kuhusu kwa nini mechi ya tarehe 8/3/2025 iliahirishwa, inakuwaje Bodi inapanga tarehe ya huo mchezo!!!!
 
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Back
Top Bottom