Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
- Thread starter
- #41
Na yanga tunataka ripoti maana walisema kuna mambo ya rushwa, usalama,kupanga matokeo cha ajabu hakuna ripoti yoyote iliyotoka baada ya UchunguziRipoti ya chunguzi haijatolewa kuhusu kwa nini mechi ya tarehe 8/3/2025 iliahirishwa, inakuwaje Bodi inapanga tarehe ya huo mchezo!!!!