mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
acha uongo wewe.mchezo husika ni ule ulioghairishwa sio huu uliopangiwa tarehe mpya.usitugombanishe na bodi ya ligi.sisi hatujaenda CAS.Uchunguzi ndio unakujulisha mkosaji then unamchukulia hatua.
Aya ya mwisho hapo simba inasema haitoshiki mchezo husika,,,huo mchezo husika ni mechi namba 184,,,na ndio hiyo imepangiwa tarehe 15/6.
Hiyo derby kacheze na Kariakwani msipocheza tunapungukiwa na nini🤣🤣🤣 .na hata mechi zilizobaki msicheze
🤣🤣🤣🤣.na sisi ndo tunapenda hivyo msichezeHiyo derby kacheze na Karia
Yanga tumesema imekwisha, nyie mpo mnalia
HATUCHEZI tuone kama hiyo bodi itawapa points 3, kuipoka Yanga points na kushuka daraja
Hapo no problem🤣🤣🤣🤣.na sisi ndo tunapenda hivyo msicheze
Mna Susa? Susaa! Susaaaaa! Susaaaaaaaaa! Mnambabaisha nani? Susaaa! Ikiwezekana hamieni ligi ya Burundi huko.Hiyo derby kacheze na Karia
Yanga tumesema imekwisha, nyie mpo mnalia
HATUCHEZI tuone kama hiyo bodi itawapa points 3, kuipoka Yanga points na kushuka daraja
Ushauri huu wa kupeleka watoto shule ilikua uanze kwa baba yako kama hutokani ni single mother, maana wewe ndio unaonekana hujaenda shule. Wapi Yanga wamezungumzia kutokua na Imani na Bodi ya ligi nje ya sakata hili la derby mpaka utake Yanga asusie ligi yote?Kujua hata Sheria kidogo ni muhimu sana. Huwa najiuliza Kama viongozi wa yanga Wana elimu hata kidogo. Hawana iman na board ya ligi yes lakin peleka shauri lako then wakikujibu ndo uende mbele kwamba hujaridhika na majibu. Mpira wa nchi hii upo chini ya TFF. Sasa Kama hamna Imani si achaneni na mpira wa nchi hii? Ushauri wangu TUJITAHIDI SANA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.
Basi wahamie huko. Huwez ukakosa Iman kwenye jambo moja then ukawa na Iman kwenye jambo lingine na wakati msimamizi ni mmoja. CAS wenyewe wanawaona wajinga tu ndio maana haijachukua hata muda kuitupilia mbali kesi yenu. Cha kukushauri tafuta shule maana elimu ni bure. Tumekuwa na wajinga wengi nchini ndio maana tunaonekana vituko sana. We fikiria timu inadai point 3 na mashabiki wao wajinga wanaamini et CAS itawapa point tatuUshauri huu wa kupeleka watoto shule ilikua uanze kwa baba yako kama hutokani ni single mother, maana wewe ndio unaonekana hujaenda shule. Wapi Yanga wamezungumzia kutokua na Imani na Bodi ya ligi nje ya sakata hili la derby mpaka utake Yanga asusie ligi yote?
Yanga Akitaka kususia ligi yote ataanza mwanzo wa msimu.
Zanzibar, Rwada na Burundi mate yanawatoka wako tayari hata hivi sasa kuwakaribisha.
Ni uwamuzi wao tu waende wapi.
Nchi gani kati ya hizi isiyotamani kuwa na timu kama Yanga kwenye ligi yao itakayoweza kuipaisha kimataifa?
Uchunguzi huo majibu yake yako wapi ili tujue mwenye kosa nani?Uchunguzi ndio unakujulisha mkosaji then unamchukulia hatua.
Aya ya mwisho hapo simba inasema haitoshiki mchezo husika,,,huo mchezo husika ni mechi namba 184,,,na ndio hiyo imepangiwa tarehe 15/6.
Siku zote mjinga hujifanya mwerevuBasi wahamie huko. Huwez ukakosa Iman kwenye jambo moja then ukawa na Iman kwenye jambo lingine na wakati msimamizi ni mmoja. CAS wenyewe wanawaona wajinga tu ndio maana haijachukua hata muda kuitupilia mbali kesi yenu. Cha kukushauri tafuta shule maana elimu ni bure. Tumekuwa na wajinga wengi nchini ndio maana tunaonekana vituko sana. We fikiria timu inadai point 3 na mashabiki wao wajinga wanaamini et CAS itawapa point tatu
Huna imani na uongozi wa ligi huku ukiongoza msimamo na umebeba ubingwa mara nne mfululizo.Basi wahamie huko. Huwez ukakosa Iman kwenye jambo moja then ukawa na Iman kwenye jambo lingine na wakati msimamizi ni mmoja. CAS wenyewe wanawaona wajinga tu ndio maana haijachukua hata muda kuitupilia mbali kesi yenu. Cha kukushauri tafuta shule maana elimu ni bure. Tumekuwa na wajinga wengi nchini ndio maana tunaonekana vituko sana. We fikiria timu inadai point 3 na mashabiki wao wajinga wanaamini et CAS itawapa point tatu
Wewe mwenyewe nikikuambia elewa ulichoandika utashindwa. Nyie yanga mm nawashauri tafuteni shuleSiku zote mjinga hujifanya mwerevu
File la kesi hiyo lipo TFF wakati bodi ya ligi ndiyo wahusika wakuu wakadai walichelewa kupeleka vithibitisho CAS badala yake wakapeleka TFF
Kwahiyo bodi haipo independent remote ni TFF bado unaona yanga wajinga
Sasa hapa nani ana akili kama sio wewe kuonyesha ujinga wako hapa hadharani mbele ya wenye akili?
Acha kutuona mafala kimataifa gani unayoizungumzia ?Ushauri huu wa kupeleka watoto shule ilikua uanze kwa baba yako kama hutokani ni single mother, maana wewe ndio unaonekana hujaenda shule. Wapi Yanga wamezungumzia kutokua na Imani na Bodi ya ligi nje ya sakata hili la derby mpaka utake Yanga asusie ligi yote?
Yanga Akitaka kususia ligi yote ataanza mwanzo wa msimu.
Zanzibar, Rwada na Burundi mate yanawatoka wako tayari hata hivi sasa kuwakaribisha.
Ni uwamuzi wao tu waende wapi.
Nchi gani kati ya hizi isiyotamani kuwa na timu kama Yanga kwenye ligi yao itakayoweza kuipaisha kimataifa?
Stupid and brainlessWewe mwenyewe nikikuambia elewa ulichoandika utashindwa. Nyie yanga mm nawashauri tafuteni shule
Bodi sio wajinga, wanawafichia aibu viongozi wa uto. Unadhani leonwakiwapiga lungu kuwa walisjiriki kuharibu mechi itakuaje?Taarifa ya uchunguzi inatakiwa na simba na yanga,,,,simba katika barua yao walisema hawatapeleka timu uwanjani mpaka hao wahuni waliowazuia wabainike na waadhibiwe.
Kwanza ili tuendelee na mjadala lete idadi ya kesi alizoshinda yanga ambazo hazija simamiwa na TFF ili tupime mzani.Kujua hata Sheria kidogo ni muhimu sana. Huwa najiuliza Kama viongozi wa yanga Wana elimu hata kidogo. Hawana iman na board ya ligi yes lakin peleka shauri lako then wakikujibu ndo uende mbele kwamba hujaridhika na majibu. Mpira wa nchi hii upo chini ya TFF. Sasa Kama hamna Imani si achaneni na mpira wa nchi hii? Ushauri wangu TUJITAHIDI SANA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.