Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

Ripoti ya chunguzi haijatolewa kuhusu kwa nini mechi ya tarehe 8/3/2025 iliahirishwa, inakuwaje Bodi inapanga tarehe ya huo mchezo!!!!
Na yanga tunataka ripoti maana walisema kuna mambo ya rushwa, usalama,kupanga matokeo cha ajabu hakuna ripoti yoyote iliyotoka baada ya Uchunguzi
 
Unapochangia mada kama hizi jaribu kuwa objective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…