Kumbana mtu mzima kiasi hicho ataona kama hujatoa kwa moyo kumsaidia..biashara ni commitment na investment ya muda na akili yako itakufumbua akili nn ufanye cha ziada kuboresha biashara yako,MAra nyingi wqtu wanaopewa mtaji huwa hawana uchungu na pengine wanakuwa na expectations kubwa katk bishara bila kujua kuna upside na down zake so wakipatwa na changamoto kidogo wanashindwa kusustain wanarudi kwa mtoa mtaji kwa kutia huruma,watu walio commited na wenye moyo wakufanya biashara hata wakifeli wanasimama tena kwa nguvu kubwa .. weka huduma za ziada zinazosupport biashara yako esp kama biashara hiyo ni ya msimu.
Foristance biashara ya stationery si ya kutegemea kuuza madaftar copy typing printing pekee weka vitu kama vifaa vya usafi mafagio mopa nk,mabegi ya shule..vifungashio passport size kadi za harusi pika keki (jifunze kuongeza ujuzi)huduma za kifedha NMB CRDB MPESA nk..nachuzungumza hapa ninauzoefu nacho maana before niliweka mtu nikawa natumiwa pesa tu sikuwa nimeweka vitu vya zaida ambavyo haviangalii msimu,so once nilipoamua kuinvest muda na akili yangu effectively kwenye biashara yangu aisee niliona mabadiliko makubwa mno ndani ya muda mfupi japo ilinichukua muda kuiexperience na kujua changamoto na nn niboreshe nisipitwe na mzunguko wa pesa..lakin tukumbuke kuwa si kila mmoja anawito wa biashara na kuna watu ni waoga mno kufanya biashara anawezq fanya kwa uoga au kwa kuwa hana namna au kalazimishwa matokeo yake ss ndo kama alivofanya dogo hapo juu..TUSIWAKATIE TAMAA