Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka.
Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan.
Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa Siri?.
Sasa nawarudisha nyuma ya Mwaka 2020, na yaloendelea Serikali za mtaa, na yakayoendelea 2025 , Mbinu zao ni zile zilee !!.
Mwalimu akisimulia alidai hivi :-
1/ CCM huhakikisha Msimamizi Kituo na Wakala wa CCM anakua na Orodha au anahakikisha anawafaham Wana CCM wote wa eneo lake.( Ndio maana CCM huhakikisha wanaandikisha wafuasi wake muda mfupi kabla ya uchaguzi).
2/ Mwanaccm akiingia Kupiga Kura, anapewa Fomu za Kura kumi kumi au zaidi. ( Anapiga na kudumbukiza.).
3/.Wanafanikiwaje kudumbukiza wakati Kuna Mawakala?.
4/ Wakala wa Upinzani kwanza,( mawakala wote) hushawishiwa Kwa Pesa, yaan anapewa Rushwa ili atulize mdomo.
5/Wakala akiwa mbishi, Kuna chakula au kinywaji huletwa, Ndani ya Vyakula au vinywaji huwekwa 'dawa za usingizi' akila kazi imeisha.
6/ Wakala asipokula kile chakula, Msimamizi wa Kituo huanzisha Fuji Kwa Wakala na Kwa makusudi huku akipiga Simu Polisi kua 'Kuna MTU analeta Fujo.( Simmesikia Kuna mawakala wa Upinzani wamefanyiwa Fujo'?)
7/ Polisi hufika na kumchukia Wakala na kumpeleka korokoroni, na ataachiwa baadae wakati ambapo tayari wizi wa haki ya kura umefanyika.( Sinamsikia Kuna mawakala wamebebwa na Polisi wengine wameheruhiwa mbele ya Polisi).
Rai yangu Kwa Upinzani, Msikomae tu kulinda kura hapo Nje, VITA INATAKIWA IWE NDANI YA CHUMBA CHA KUPIGA NA KUHESABU KURA, HUKO NDIKO WIZI UNAFANYIKA.
Ningewawekea hapa AUDIO RECORD , ya Maneno ya Mwalimu na Mimi.,, lkn najua wapuuzi wale watamuachisha kazi.