Namna gani naweza kumuona Waziri nayemuhitaji?

Mawaziri wetu wengi walipaswa kuwa Mirembe hospital ili iwe rahisi kuonana nao.

BTW Kama una hitaji kuonana nae kwa Issue rasmi ya ki ofisi unaweza fika wizara husika na kuomba appointment kupitia secretary ama personal assistance wake, Ukitegemea upige simu ipokelewe unaweza subiri sana, unless kama una namba yake ya simu binafsi
 
Sheria inabidi ipitishwe kuwa kila mwisho wa mwezi kila Waziri awe anaenda Mirembe kutiibwa na kukutana na wananchi wake.
 
Naomba ushauri nmana bora ya kukutana na Waziri yoyote ninayemuhitaji
Kuna namna 4, za kukutana na waziri yeyote hata rais.
Wewe kama mwananchi, wewe ndiye mwenye nchi, viongozi wote akiwemo rais wa JMT ni watumishi wetu, sisi ndio ma boss wenye nchi, tunaowaajiri kwa kura zetu na kuwalipa mishahara yao kwa kodi zetu hivyo tuko huru kuwaona wakati wowote.
1. Official appointments
Hapa ni unapiga tuu simu Wizara husika, unamuomba kumuona Waziri husika, utapelekwa kwa PS wake, utajitambulisha na kuomba appointment kumuona Waziri, huyu PS atakupa number ya PA wake, utampigia PA, na kumweleza unamtafutia nini Waziri, PA, atamjlisha Waziri, ukikubaliwa utapewa appointment mostly ni kumuonea Dodoma. Disadvantage ya official appointment ni mlolongo mrefu mpaka kumuona, takes time!.
2. Un official appointment.
Kila Waziri ana mobile phone na ana social media handle yake, simu, WhatsApp, Facebook, Twitter, email, Instagram, LinkedIn's, m follows, mwandikie sms, WhatsApp jitambulishe na kusema shida yako, atakupa appointment. Disadvantaged ya un official appointment ni anaweza kula kobis asikujibu!.
3. Bumping
Mawaziri wote, kila siku, wana public events, baada ya kila events, mawaziri wanajichanganya na wadau, be around with your business card on hand, jichanganye, utamfikia waziri husika, msalimie, jitambulishe, omba appointment kumuona mpe Mpe business card yako, atakutafuta. The easiest place ni Bungeni Dodoma. This is the best option fast na haraka.
4. Connections
Kila Waziri ni binadamu, ana watu wake na maeneo yake ya socialize, wajue watu wake, yajue maeneo yake, be friends hao watu wake, waku connect na Waziri husika!. Disadvantage ya kutumia connections, ni too risky ya wewe kutumika!.
P.
 
Genius P 😊 thanks
 
Ni rahisi sana kumuona Mwanposa ukiwa na cash yako mkononi kuliko kuonana na Waziri yoyote hapa Tanzania bara. Hali ni tofauti sana na Zanzibar wenzetu wapo karibu sana na raia. Na ajabu nyingine hata Mbunge wako kuonana nae mpaka mviziane Dodoma.
 
Back
Top Bottom