shirima-wa-pili
Member
- Jan 1, 2013
- 23
- 21
huku jf kuna ng'ombe zipo tu basi kwavile zinataka zionekane zinachat hazichangi kitu. Alafu kuna punda hazina ushaur kaz kusoma coment au waandike ngoja wajuz waje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama hutojalii naomba unimegee ujuzi wko kuhuxu forex nataman xana kujion forexNimejifunza kitu hapa. Nashukuru san mkuu.
Japo siungani moja kwa moja na idea ya kufanya kazi zisizokuwa na risk, mkuu kuna njia mbili za kupata kipato yaani WIN-WIN situation au WIN-LOSE situation
Nikianza na hiyo ya kwanza, hapo utatakiwa ku-provide value kwa watu ndipo wakulipe kwa values unayoitengeneza katika maisha yao. Njia hii ni nzuri inahitaji watu wanaopenda kujitolea sana
Hiyo ya pili unatakiwa kuwa Master wa jambo unalofanya ili uweze kumshinda competitor wako. Njia hii ni ngumu kidogo kwani yahitaji muda na uvumilivu sana. Kuna msemo unasema Mastery ya kitu chochote huchukua masaa 10000 ili kuweza kuipata.
Hatuna haja ya kuogopa risk as ling as kama kuna njia za jinsi ya kuziepuka na kuzipunguza, kwa mfano mimi nimeijua FX mwaka jana, sina mentor lakini bado nina uwezo wa kutengeneza 5$ kwa siku nikiwa na capital ya 20$ This sums 100$.
Fikiria kama ningekuwa na mentor mzuri huenda ningekuwa katika positon nzuri zaidi ya hapa
Sema umegusia kitu cha msingi sana, baada ya kuupata ujuzi tujifunze jinsi ya kuuza ndipo tutakapoona matunda ya ujuzi wetu.
Nakubali wito mkuu.Mkuu kama hutojalii naomba unimegee ujuzi wko kuhuxu forex nataman xana kujion forex
Nakubali wito mkuu.
Lakini mimi si mentor, hivyo siwezi nikakuahidi mengi sana juu ya hili.
Unaweza ukatafuta telegram @lysonGN
Nitajitahidi kukumegea kile kidogo nilichonacho
Karibu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia internet kwa sana, hivyo naamini naweza kushiriki biashara ya mtandaoni kutengeneza pesa.
Hujui forex alfu unasoma IFM kweli due pole lkn hongera umeomba ushaur mzuri ndo mungu wako kakuongoza google mtandaoni forex utajua no nnfanya forex
Khaa..!! Mkuu kwani unateseka..!?[emoji23][emoji23]huku jf kuna ng'ombe zipo tu basi kwavile zinataka zionekane zinachat hazichangi kitu. Alafu kuna punda hazina ushaur kaz kusoma coment au waandike ngoja wajuz waje.
Hivi ni kwanini nyinyi watu wa fx mnatumia telegram tu..!!Nakubali wito mkuu.
Lakini mimi si mentor, hivyo siwezi nikakuahidi mengi sana juu ya hili.
Unaweza ukatafuta telegram @lysonGN
Nitajitahidi kukumegea kile kidogo nilichonacho
Karibu.
Hakuna sababu ya msingi.Hivi ni kwanini nyinyi watu wa fx mnatumia telegram tu..!!