Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

huku jf kuna ng'ombe zipo tu basi kwavile zinataka zionekane zinachat hazichangi kitu. Alafu kuna punda hazina ushaur kaz kusoma coment au waandike ngoja wajuz waje.
 
Nimejifunza kitu hapa. Nashukuru san mkuu.

Japo siungani moja kwa moja na idea ya kufanya kazi zisizokuwa na risk, mkuu kuna njia mbili za kupata kipato yaani WIN-WIN situation au WIN-LOSE situation

Nikianza na hiyo ya kwanza, hapo utatakiwa ku-provide value kwa watu ndipo wakulipe kwa values unayoitengeneza katika maisha yao. Njia hii ni nzuri inahitaji watu wanaopenda kujitolea sana

Hiyo ya pili unatakiwa kuwa Master wa jambo unalofanya ili uweze kumshinda competitor wako. Njia hii ni ngumu kidogo kwani yahitaji muda na uvumilivu sana. Kuna msemo unasema Mastery ya kitu chochote huchukua masaa 10000 ili kuweza kuipata.

Hatuna haja ya kuogopa risk as ling as kama kuna njia za jinsi ya kuziepuka na kuzipunguza, kwa mfano mimi nimeijua FX mwaka jana, sina mentor lakini bado nina uwezo wa kutengeneza 5$ kwa siku nikiwa na capital ya 20$ This sums 100$.

Fikiria kama ningekuwa na mentor mzuri huenda ningekuwa katika positon nzuri zaidi ya hapa

Sema umegusia kitu cha msingi sana, baada ya kuupata ujuzi tujifunze jinsi ya kuuza ndipo tutakapoona matunda ya ujuzi wetu.
Mkuu kama hutojalii naomba unimegee ujuzi wko kuhuxu forex nataman xana kujion forex
 
Mkuu kama hutojalii naomba unimegee ujuzi wko kuhuxu forex nataman xana kujion forex
Nakubali wito mkuu.

Lakini mimi si mentor, hivyo siwezi nikakuahidi mengi sana juu ya hili.

Unaweza ukatafuta telegram @lysonGN

Nitajitahidi kukumegea kile kidogo nilichonacho

Karibu.
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia internet kwa sana, hivyo naamini naweza kushiriki biashara ya mtandaoni kutengeneza pesa.



Nunua computer yako binafsi yenye software ya kutengenezea hela na kama hakuna hizo softwares, dukani zipo nyingi tu zinauzwa. Then Google any currency uitakayo kisha chapisha uishi kitajiri na wewe.
 
1. Build a Niche Blog (or Website) and Use Affiliate Marketing
2. Launch and Grow a Startup
3. Build and Sell Software
4. Start an eCommerce Site and Sell Physical Products
5. Find Freelance Clients and Sell Your Services
6. Start Online Coaching and Sell Your Advice
7. Create Online Courses to Productize Your Knowledge
8. Launch a YouTube Channel to Entertain and Educate
9. Record a Podcast and Share Inspiring Stories

10. Join a Remote Company Part-Time (or Full-Time)
12. Narrate Audiobooks
13. Write and Sell an eBook (Amazon Self-Publishing)
14. Do Micro-Jobs on Amazon Mechanical Turk
15. Join a Freelance Network (Like Upwork, or Fiverr)

16. Sell Your Services on Niche Sites Like 99Designs, Cloudpeeps or TopTal
17. Do Graphic Design for Local Companies
18. Email Marketing with a Niche Newsletter (The Skimm, Mister Spoils)
19. Sells Products on a Shopify Store
20. Sell Your Crafts and Art on Etsy

21. Become an Influencer on Instagram
22. Sell Your Art and Designs on Society6
23. Local Business Consulting
24. Sell Stock Photos Online
25. Rent Your Home or Room on AirBnB

26. Start an Online T-Shirt Business
27. Sell Your Expertise on Clarity.fm
30. Get a Commission-Only Sales Gig
31. Teach Kiswahili as a Virtual Tutor

32. Guest Post as a Freelance Writer for Niche Websites
33. Write on Medium’s Partner Program
34. Help People with Their Tax Prep

35. Transcribe Audio and Interviews

36. Proofread Articles
37. Private Labelling and Selling Products on Amazon
38. Online Travel Consultant
39. Do Virtual Odd Jobs on TaskRabbit
40. Clean Up Search Engines
41. Enter Online Contests for Company Names and Slogans

42.
43.
44.
45.
46
...
....
.....
......
.......
.........
...........
..............
 
huku jf kuna ng'ombe zipo tu basi kwavile zinataka zionekane zinachat hazichangi kitu. Alafu kuna punda hazina ushaur kaz kusoma coment au waandike ngoja wajuz waje.
Khaa..!! Mkuu kwani unateseka..!?[emoji23][emoji23]
 
Nakubali wito mkuu.

Lakini mimi si mentor, hivyo siwezi nikakuahidi mengi sana juu ya hili.

Unaweza ukatafuta telegram @lysonGN

Nitajitahidi kukumegea kile kidogo nilichonacho

Karibu.
Hivi ni kwanini nyinyi watu wa fx mnatumia telegram tu..!!
 
Naitwa Mussa Zaganza ,nawasaidia wajasiriamali kunasa wateja kwa kutumia internet
: Nimebuni mfumo nimeuita smaku ya mtandao👆
: Huu no mfumo wa kukusanya taarifa za wateja watarajiwa ikiwemo email na namba za simu ,kisha mjasiriamali anaanza kujenga uaminifu kwa kuwapa elimu bure juu ya bidhaa zake ikibidi na ofa
. Kunasa ni kuwa na page ya kucollect taarifa za wateja watarajiwa (lead) kisha unaconvert lead kuwa customers
Bonyeza link hii:
 
Back
Top Bottom