Namna gani utaondoa chogo kwa mtoto mchanga?

Me wangu alizaliwa na kichogo kidogo kama kinundu hivi. Nikaenda hospital kwa dokta spesho wa watoto nikamwonyesha akakiona.akanambia watoto huwa wanazaliwa na hivyo vitu ni katika makuzi yao.sasa kabla.

Hawajatengamaa vizuri ndo akazaliwa. Akanambia kitaisha chenyewe.na kweli kiliisha chenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…