Huwa vinaisha japo nlikuwa na hofu sana viliisha vyenyeweYeah hata wangu
Niliambiwa kwa kuwa uchungu ulichukuwa muda mrefu,lkn kiliisha kbl hajafikisha wiki mbili au chini ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo ndugu yako alipata zero, huko ndiko kukabiliana na changamoto? Au kuitwa chogo kulimuathiri hatimaye akaambulia mayai?We muache tu wakimtania inamjengea uzoefu wa kukabiliana na changamoto. Nina ndugu yangu ana chogo alipata ziro form 4 so kuwa na chogo sio kuwa na akili ila pia kama ni wakike halafu akawa analazwa chali hatakuwa na chura aka msambwanda atakuwa na matako mbatalalo yale yanayokuwaga mapajani.
Zoezi linaanza baada ya muda gani baada ya kuzaliwa mtoto?Kikwetu nilikuwa naona bibi na mama yangu wanatumia samli wanapaka mikononi na kuweka karibu na moto viganja wanafanya kukusanya na kureshape kichwa katoto kakiwa kachanga kabisa kwa siku labda mara 2 mpka tatu zoezi linadum km wiki 2 mpk mwezi mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa aisee nmecheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshawai kuwa na bf alikua nachogoo balaaa...Alafu alikua na upara. Kila nlivyokua nakiangalia kile kichwa ndo jinsi Mapenzi yalivyokua yanapungua
Sent using Jamii Forums mobile app
UongoWe muache tu wakimtania inamjengea uzoefu wa kukabiliana na changamoto. Nina ndugu yangu ana chogo alipata ziro form 4 so kuwa na chogo sio kuwa na akili ila pia kama ni wakike halafu akawa analazwa chali hatakuwa na chura aka msambwanda atakuwa na matako mbatalalo yale yanayokuwaga mapajani.
Weka picha tuone
Bahati mbaya simfahamu,ningelinganisha chogo na paji kubwaukikwepa chogo kichwa kitakimbilia mbele kama cha Meko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukikwepa chogo kichwa kitakimbilia mbele kama cha Meko
Sio kweli.ndo safe way
AhaaaaNshawai kuwa na bf alikua nachogoo balaaa...Alafu alikua na upara. Kila nlivyokua nakiangalia kile kichwa ndo jinsi Mapenzi yalivyokua yanapungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa jamani mbavu zangu.mkuu tulikosea kuangalia .tunakuja kuona baadaeWanawake aangalie wanaume wa kuzaa nao. Mtakuja kufa mkisukuma vichwa visivyoeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini?