Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Nijuavyo Rice cooker baada ya dakika 15 sijui 10 sina hakika sana lina jiswitch off sasa kama unapika maharage si utachoka washa zima hatimaye utaiharibu.... hlf kitu kishaitwa RICE COOKER why kukipa majukumu mengine wakati kuna bwana Pressure cooker anaiweza vema kazi hiyo.
Inategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digital
8b45ff3c9ab190e5c7418a4d03ed3e41.jpg

Nachemshia maziwa, nakaangia chips, nyama etc..
 
[emoji23] [emoji23] kwa kuwa hatuna jina jingine ndio mana tunaita "rice cooker" ila langu lina option nyingi tu,, kama lako
 
[emoji23] [emoji23] kwa kuwa hatuna jina jingine ndio mana tunaita "rice cooker" ila langu lina option nyingi tu,, kama lako
That's awesome... I love my rice cooker... It's my everything [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Inategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digital
8b45ff3c9ab190e5c7418a4d03ed3e41.jpg

Nachemshia maziwa, nakaangia chips, nyama etc..

Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute..
Na cha muhimu kati ya rice cooker na pressure cooker lipi ni zuri nahitaji multipurpose na si mtaalamu wa hivi vitu.Ahsanteh
 
Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute
Brand ni HeHouse.. Wana products za ukweli.. Full picture nitakutumia ijumaa nipo safarini...
 
Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute..
Na cha muhimu kati ya rice cooker na pressure cooker lipi ni zuri nahitaji multipurpose na si mtaalamu wa hivi vitu.Ahsanteh
25f6f9625107f54d9383b1d391ceb2fa.jpg

Here... Brand as I told you is HeHouse
 
Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute..
Na cha muhimu kati ya rice cooker na pressure cooker lipi ni zuri nahitaji multipurpose na si mtaalamu wa hivi vitu.Ahsanteh
c36ab9a87fabcf3a3b82feb006eac43f.jpg
 
NAKUMBUKA MWAKA 2010 WAKATI NAISH NA AUNT, NILIIZOEA RICE MPAKA IKAFIKA KIPINDI NAPIKA WALI MTAMU HATARI.

IMERAHISISHA HATA MAISHA YANGU YA UBACHELOR. YANI UNAPRESS BUTON UNACHEK TV NDAN YA DK. 15 WALI HUO.. TAYARI KULIWA.
 
Ahsanteh sana ngapi kwa hapa TZ na k/koo kweli kwa dar naweza ipata hii
Nyingi sana ukimwona nayo mtu jua ameletewa straight nje ,,sasa kko kifup tu hkaun mana na bei nayo.imesimama vyema nenda wanakouza vyombo used huko utaipta hii
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Acha kuwatesa majirani zako kwenye suala la umeme kama unatumia rice coocker kupika vyakula vingine mbali na mchele kama ilivyotengenezwa.

Themostat na kila kitu kilichowekwe kwenye rice coocker ni kwa ajili ta kupika wali tuu. Sasa unakuta li mtu linapikia hadi maharage. Coocker inawaka hadi inajizima jitu limooo tuuu linawasha tenaaaa.

Nunua presha coocker ya kawaida. Chambua maharage yako. Yaoshe vizuri. Loweka hata kwa masaa matatu then weka kwenye presha coocker yako funga vizuri washa gesi yako weka presha lako dakika 20 maharage tayari.
 
Inaweza pia kupika vyakula vinavyoiva kwa muda mfupi kuliko wali mfano mboga,kupashia vyakula,chai n.k

Sio matumizi yake sahihi ila kama huna mkaa au gesi inaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom