Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Kaomba picha na sio bei...
Hii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.
images%20(7).jpg
 
Hii hapa. Mm natumia pressure coocker kupikia vyakula vigumu. Nyama, maharage, wali, makande, samaki na vingine vingi kwa haraka kabisa. Nikihamishwa kazi kitu cha kwanza kuweka huwa ni presha coocker nguo ndo zinafata.View attachment 1460566
Me cha kwanza huwa ni jagi...okey,presha cooker kwangu changamoto huwa ni zile kelele zake..haina siri 😬
 
Yako haijawahi kuharibika kwa matumizi hayo?
Watu mnamiss use matumiz ya rice coocker. Nimenunua rice coocker tangu mwaka 2013 nipo first year mpaka leo ninayo maana naitumia vizuri kama mchina alivyoiitengeneza.
Tatizo wabongo kwenye kubadilia matumizi mpo vizuri.

Hata rims za matair zinatengeneza huko japan zikija bongo zinatumika kama kengele za shuleni. Makabati ya kuwekea nguo ya kitambaa sasa ivi yanatumika kupigia nyungu seasoni ya pili.

Aisee bongo sihami[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inatumia nishati gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Gas... LPG gas.
Mkaa pia unaweza tumia sema mikono yake inaweza ungua ingawa mikono hiyo imetengenezwa na themosetting polymer ni ngumu kuyeyuka kwa moto mkali ila itakuwa ina meguka taratibu.

Mm natumia presha coocker ya RUBA AFRICA imetengenezwa PAKISTAN.
Hapo kariakoo zilikuwa zinaletwa na nili washawish collage mates wangu wengi wakawa nazo. Sema products zilipo isha hawakuleta tena
 
Watu mnamiss use matumiz ya rice coocker. Nimenunua rice coocker tangu mwaka 2013 nipo first year mpaka leo ninayo maana naitumia vizuri kama mchina alivyoiitengeneza.
Tatizo wabongo kwenye kubadilia matumizi mpo vizuri.
Hata rims za matair zinatengeneza huko japan zikija bongo zinatumika kama kengele za shuleni. Makabati ya kuwekea nguo ya kitambaa sasa ivi yanatumika kupigia nyungu seasoni ya pili.
Aisee bongo sihami[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahaha...Mkuu hiyo rice cooker umekua nayo,umetisha....bana wee tunajaribu kupunguza kuwa na makorokoro mengi ndani....umesahau,rim zimekuwa majiko ya mkaa pia 😀
 
Rice cooker sio kwa ajili ya wali tu, watu tushapikia magimbi, tushapikia maharage, tushapikia mchemsho, tushasongea ugali...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
With greater timing waweza pikia tambi, mihogo, viazi na kutengenezea juisi.
 
Ndio hivyo ukitaka kujua rice cooker lina kazi nyingi usiwe na gesi wala mkaa kwako[emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ushawahi kuchemsha magimbi/ndizi kwenye electric kettle? [emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
zipo sana tu na nadhani kwa Tanzania ndio common. Ya kwangu mie inapikia kwenye gesi ,umeme na mkaa..... hata kwenye kuni inamudu ila sijajaribu
Kuni utakuwa unaunguza mikono yake emu ikague vizuri presha coocker yako utagundua sehemu za mikono imeanza kama kupukutika(corroded)
 
Back
Top Bottom