Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Kuni utakuwa unaunguza mikono yake emu ikague vizuri presha coocker yako utagundua sehemu za mikono imeanza kama kupukutika(corroded)
I wrote "hata kwenye kuni inamudu ila SIJAJARIBU"
Naelewa madhara ya kutumia cookers zenye plastic handles kwenye kuni so I stick to gas and electricity and if the pan/pot is big enough I use charcoal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo ya kwenye picha ipoje?huwa siielewagi......ni umeme tu?effectiveness yake ikoje katika matumizi?
Hii presha coocker ni nzuri sana. Kwa gesi na mkaa. Ila gesi ndo sana zaidi. Maana gesi ni cheap na efficient zaidi. Ina safety pin kuonyesha kuwa mfuniko upo tayari kwa kufunguliwa kwa usalama wako.
Ninayo mm kama hiyo. Ninafanya kazi ya kuhamishwa hamishwa mara nyingi. Nikipokea barua ya uhamisho cha kwanza nafikiria nasafiri vipi na hiyo presha. Tangu nipo college nayumba nayo. Sema mpira wake umeanza kulegea. Najipanga kununua nyingine kubwa zaidi maana natarajia kupata familia.
images%20(7).jpg
 
Mimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani. Na kila maharage nachemshia humo.

Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.

Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
 
Mimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani.
Na kila maharage nachemshia humo.
Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.
Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
Yoote hayo unayafanya kwa rice coocker sio????????
 
  • Thanks
Reactions: amu
Yoote hayo unayafanya kwa rice coocker sio????????
Yes na kwa muda wa miaka mitatu.
Kwangu mimi sina pressure cooker na mkaa nawasha mara chache sana nikiwa na wageni sana sana siku za sikukuu hapo nawasha kupikia wali kilo 3 kwenda juu.
Naweza kukaa mwaka sijawasha mkaa kwangu.
Mkombozi rice cooker yangu na jiko la gas.
Maharage nayabandikaa kwa rice cooker yakiiva nayaunga kwenye jiko la gas.
 
Natumia rice coocker kama rice coocker??? Au ni multi coocker??? Tuanzie hapo kwanza
 
Mimi yangu kila siku napikia wali, pilau biriani.
Na kila maharage nachemshia humo.
Mchemsho wa nyama pia nachemshia humo ikiwa napika supu.
Kwa kweli naishukuru sana maana hata nikiwa sina sh mia ninapika kwanza maharage then naosha sufuria nabandika wali.
Ina miaka mitatu sasa.
Kumbe?basi nami naanza kuwa kama wewe..ushuhuda wako ni wa dhahiri kabisa..thnks for sharing mkuu
 
Natumia rice coocker kama rice coocker??? Au ni multi coocker??? Tuanzie hapo kwanza
Mimi yangu ni rice cooker mkuu.
Rice cooker tu.
Sina multi cooker.
Nii imara sana maana nilinunua miaka 6 nyuma.
Sema zilikuwa mbili kubwa na ndogo.
Nilikuwa natumia ndogo baada ya kugawa ndogo miaka mitatu nyuma nikaanza kutumia hii ya sasa ni kubwa kidogo ya kilo moja na nusu.
Nafikiria inategemea na uimara wa rice cooker kwa matumizi yangu ingekuea imeshaharibika.
 
duh,sijawahi jua hilo?unaitumia kama hiyo?asante sana
Mimi nimeona watu wakitumia.
Ila mimi sina.
Kama hujanunua rice cooker nakushauri tafuta tu hiyo multi cooker umalize mchezo zipo zingine zinafanya kila kitu mpaka deep fry. Achana kununua rice cooker.
 
Back
Top Bottom