Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Hapa napitia mahindi mabichi shambani naenda kuchemsha na presha coocker kitu dakika 20 naepua natafuna mahindi.aaahhh...mkaka mtanashati ukitoka nje majirani wanajua kabisa sahizi mzee umepiga kitu cha harage😀 kimya kimya ndio mwake