Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Uharibifu lazima utokee, hasa ukipikia vigumu kuiva kuliko wali, jina lake linajieleza ni kwa ajili ya nini, sasa nyinyi mnalazimisha kupika mpaka maharage halafu mnaenda kuwalaumu wenye maduka eti limeungua haraka
 
Inaweza pia kupika vyakula vinavyoiva kwa muda mfupi kuliko wali mfano mboga,kupashia vyakula,chai n.k

Sio matumizi yake sahihi ila kama huna mkaa au gesi inaweza kukusaidia
thanks
 
Acha kuwatesa majirani zako kwenye suala la umeme kama unatumia rice coocker kupika vyakula vingine mbali na mchele kama ilivyotengenezwa. Themostat na kila kitu kilichowekwe kwenye rice coocker ni kwa ajili ta kupika wali tuu. Sasa unakuta li mtu linapikia hadi maharage. Coocker inawaka hadi inajizima jitu limooo tuuu linawasha tenaaaa.

Nunua presha coocker ya kawaida. Chambua maharage yako. Yaoshe vizuri. Loweka hata kwa masaa matatu then weka kwenye presha coocker yako funga vizuri washa gesi yako weka presha lako dakika 20 maharage tayari.
Naomba picha ya iyo presha cooker unayoiongelea.
 
Lux-V3-Main.png
 
Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?
Rice cooker sio kwa ajili ya wali tu, watu tushapikia magimbi, tushapikia maharage, tushapikia mchemsho, tushasongea ugali...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Haaa...kumbe 😀
 
Acha kuwatesa majirani zako kwenye suala la umeme kama unatumia rice coocker kupika vyakula vingine mbali na mchele kama ilivyotengenezwa. Themostat na kila kitu kilichowekwe kwenye rice coocker ni kwa ajili ta kupika wali tuu. Sasa unakuta li mtu linapikia hadi maharage. Coocker inawaka hadi inajizima jitu limooo tuuu linawasha tenaaaa.

Nunua presha coocker ya kawaida. Chambua maharage yako. Yaoshe vizuri. Loweka hata kwa masaa matatu then weka kwenye presha coocker yako funga vizuri washa gesi yako weka presha lako dakika 20 maharage tayari.
Mi napikiaga mpaka ugali na makande mzeee baba
 
Back
Top Bottom