Inategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digitalNijuavyo Rice cooker baada ya dakika 15 sijui 10 sina hakika sana lina jiswitch off sasa kama unapika maharage si utachoka washa zima hatimaye utaiharibu.... hlf kitu kishaitwa RICE COOKER why kukipa majukumu mengine wakati kuna bwana Pressure cooker anaiweza vema kazi hiyo.
[emoji23] [emoji23] kwa kuwa hatuna jina jingine ndio mana tunaita "rice cooker" ila langu lina option nyingi tu,, kama lakoInategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digital
Nachemshia maziwa, nakaangia chips, nyama etc..
That's awesome... I love my rice cooker... It's my everything [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] kwa kuwa hatuna jina jingine ndio mana tunaita "rice cooker" ila langu lina option nyingi tu,, kama lako
Inategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digital
Nachemshia maziwa, nakaangia chips, nyama etc..
Brand ni HeHouse.. Wana products za ukweli.. Full picture nitakutumia ijumaa nipo safarini...Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute
Shukrani bidada Mungu akusimamie ufike salama uendako.Brand ni HeHouse.. Wana products za ukweli.. Full picture nitakutumia ijumaa nipo safarini...
Amen... Thanks sanaShukrani bidada Mungu akusimamie ufike salama uendako.
umenunua sh Ngapi?Inategemea na rice cooker na options ilizo nazo. Mfano yangu ina options ya porridge, cake, (inabake for 50 minutes?) soups etc.. It's a digital
Nachemshia maziwa, nakaangia chips, nyama etc..
Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute..
Na cha muhimu kati ya rice cooker na pressure cooker lipi ni zuri nahitaji multipurpose na si mtaalamu wa hivi vitu.Ahsanteh
Unaweza nisaidia brand ya hii yako mkuu,kiufupi specs zake zote nimelielewa kiukweli na kiasi gani linaenda usisahau picha kwa ukubwa nikalitafute..
Na cha muhimu kati ya rice cooker na pressure cooker lipi ni zuri nahitaji multipurpose na si mtaalamu wa hivi vitu.Ahsanteh
Ahsanteh sana ngapi kwa hapa TZ na k/koo kweli kwa dar naweza ipata hii
Here... Brand as I told you is HeHouse
Not sure kama utapata au la, jaribu maana hii nililetewa tu sikuinunulia hapaAhsanteh sana ngapi kwa hapa TZ na k/koo kweli kwa dar naweza ipata hii
Nyingi sana ukimwona nayo mtu jua ameletewa straight nje ,,sasa kko kifup tu hkaun mana na bei nayo.imesimama vyema nenda wanakouza vyombo used huko utaipta hiiAhsanteh sana ngapi kwa hapa TZ na k/koo kweli kwa dar naweza ipata hii
Ahsanteh mkuuNyingi sana ukimwona nayo mtu jua ameletewa straight nje ,,sasa kko kifup tu hkaun mana na bei nayo.imesimama vyema nenda wanakouza vyombo used huko utaipta hii
Acha kuwatesa majirani zako kwenye suala la umeme kama unatumia rice coocker kupika vyakula vingine mbali na mchele kama ilivyotengenezwa.Unaweza kupika/kuchemshia chakula kingine kipi pasipo kuifanyia uharibifu?