Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

Umeandika kwa hasira sana..pole Sana.
Hata sijakasirika mkuu. Kuna staff mwenzangu nilikuwa nafanya kazi sehem tukapewa nyumba tukaishi staffs karibia nane kila mmoja na chumba chake. Jamaa alikuwa anafua mashuka na nguo usiku anazikausha kwa kutumia feni ya umeme. Zile feni za kusimama aiseeeee. Hapo ndo nilijua ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyo staff mwenzio alizidi aisee.
 
Hadi keki unapika. Kuna recipe nyingi tu kama ukiwa mpenda kula. Na ni rahisi sana. Ingia pinterest tafuta "rice cooker recipes " halafu utaona mwenyewe.
 
Reactions: amu
Hadi keki unapika. Kuna recipe nyingi tu kama ukiwa mpenda kula. Na ni rahisi sana. Ingia pinterest tafuta "rice cooker recipes " halafu utaona mwenyewe.
Asante kwa kweli inaweza kutumika kupikia vingi,nimekuta hii pia
 
Kwenye Rice cooker, ikishajifyatua na kujiweka kwenye "warm" unaweza geuza kwa mwiko, sasa hili inakuaje?!
 
Rice cooker/ electric kettle nimenunua tangu 2010 na licha ya kufanyia yote hayo na bado ziko fresh hadi leo hii, nani hataki?

[emoji2398]ᡃʳᡉᡉᡐ [emoji769]
 
Mpira wake utapata kwenye maduka ya vyombo vya mtumba....
 
Ni mazoea tu kama tulivyozoea kutumia flask thamol kuhifadhi vitu vinywaji moto tu
 
Mpira wake utapata kwenye maduka ya vyombo vya mtumba....
Mkuu kwa maduka ya vyombo nayoyajua labda kama wameeanza kipindi hiki kuleta mipira. Mm tangu nazaliwa namkuta baba na mama wanatumia presha coocker. Baba alikuwa analalamika sana kwenye kununua mpira hasa pale presha coocker linapokuwa limetumika muda mrefu. Na mm nilipoanza kujitegemea nilienda kuishi dar.

Nilikuwa nataufuta sana mpira wa presha coocker hapo mitaa ya kariakoo kwenye maduka makubwa ya vyombo kama sijakosea ni mtaa LIVINGSTONE sema nimesahau maana ni muda sana tangu niondoke hilo jiji la lawama.
 
Mmhh unapikia samaki kwenye pressure cooker SI watatoka rojo
Timing. Afu presha coocker kitu kikisha chemka kikaiva mvuke unakuwa mwingi na safety pin unaona inainuka juu na vizibo vyake vinaanza kuzunguka na kupiga kelele.
Natumia dakika 8 hadi 10 kuivisha samaki na sijawahi kutoa rojo hata siku moja.
Nahisi presha coocker imesababisha mm kuchelewa kuoa. Maana naliona kama mke wangu kwenye kupika.

Napika maharage kitu kinatoka standard. Napika wali kitu safiii. Napika nyama, samaki, viazi, tambi, makande, mahindi ya kuchemsha yaani mm chakula chochote cha kuchemsha sijawahi kukichemsha zaidi ya dakika 20.
Fanya timming tu presha coocker utaipenda.

Na hii ni bonge moja la PHYSICS wanaoijua ADIABATIC CHANGE waliosoma mambo ya THERMODYNAMICS huwa tunaielewa sana presha coocker.
 
Rice cooker nilishawahi kulipikia maharage, maisha gheto wakati wa awamu ya mwisho ya Benjamin Mkapa
 
.nipo napikia kande apa na jana nlipikia ndizi nyama

πŸ…ΌπŸ…ΈπŸ…»πŸ…ΈπŸ†ƒ[emoji742]πŸ†πŸ†ˆ πŸ…ΆπŸ…΄πŸ…½πŸ…ΈπŸ†„πŸ†‚
 
.nipo napikia kande apa na jana nlipikia ndizi nyama

πŸ…ΌπŸ…ΈπŸ…»πŸ…ΈπŸ†ƒ[emoji742]πŸ†πŸ†ˆ πŸ…ΆπŸ…΄πŸ…½πŸ…ΈπŸ†„πŸ†‚
Safi...nami badae kdg ntaipikia mchemsho wa ndizi nyama,ngoja hang over ipungiue kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…