Hii presha coocker ni nzuri sana. Kwa gesi na mkaa. Ila gesi ndo sana zaidi. Maana gesi ni cheap na efficient zaidi. Ina safety pin kuonyesha kuwa mfuniko upo tayari kwa kufunguliwa kwa usalama wako.
Ninayo mm kama hiyo. Ninafanya kazi ya kuhamishwa hamishwa mara nyingi. Nikipokea barua ya uhamisho cha kwanza nafikiria nasafiri vipi na hiyo presha. Tangu nipo college nayumba nayo. Sema mpira wake umeanza kulegea. Najipanga kununua nyingine kubwa zaidi maana natarajia kupata familia.
View attachment 1460626